act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarime Mjini; Mgombea wa ACT-Wazelendo, Jackson Kangoye aenguliwa na INEC kumsaidia Esther Matiko

    Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea huyo. Esther alimuwekea pingamizi ambalo lilitupiliwa mbali. Na akakata rufaa. Lakini rufaa ya...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo: Jeshi la Polisi Liache Kutumika Kisiasa, Katibu wa Jimbo la Kiwani Akamatwa

    TAARIFA KWA UMMMA "Tunaitaka Jeshi la Polisi liache kutumika kisiasa" Tumepokea taarifa, ya kukamatwa usiku mkubwa kwa Katibu wetu wa Jimbo la Kiwani Ndugu. Saleh Ali Masoud na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba na anashikiliwa katika kituo cha Polisi Madungu. ACT Wazalendo, tunalalamika...
  3. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo jitoeni kwenye uchaguzi

    ACT wazalendo bado hamjachelewa jitoeni kwenye uchuguzi kwa upande wa Bara. Hamna chochote mnatakachopata kwenye uchaguzi huu, mbele ya hii CCM maslahi. Mtapigwa kila pembe hadi mchakae. Tunajua muhasisi wenu Zitto anawapelekesha kwenye chama chenu, lakini kwa hali inavyokwenda ni vyema...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Edwin Kachoma Ajiondoa Kugombea Ubunge Sumbawanga Mjini Kupitia ACT-Wazalendo

    Mgombea wa Chama cha ACT-Wazalendo Jimbo la Sumbawanga Mjini, Edwin Kachoma, ametangaza kujiondoa katika kinyang’anyiro cha Ubunge kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akizungumza na waandishi wa habari, Kachoma amesema sababu kuu ya kujitoa ni kukosa ushirikiano kutoka makao makuu ya...
  5. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo: Uchaguzi Mkuu 2025 umekithiri uonevu, mizengwe, na ubabaifu

    Chama cha ACT Wazalendo kimetoa taarifa kikilalamikia misukosuko kinayokutana kwenye michakato ya uchaguzi Mkuu 2025 inayoendelea. "Uchaguzi Mkuu 2025 umekithiri uonevu, mizengwe, na ubabaifu lakini tutaendelea na mapambano." Naibu Mwenezi Taifa Shangwe Ayo
  6. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 TARIME MJINI: CCM Makao makuu wanapambana kufanya maridhiano mgombea ubunge ACT - Wazalendo ajitoe kumuokoa Esther Matiko asiyekubalika

    Juhudi kubwa zimefanyika ili wananchi na wana CCM Tarime kumkubali Esther Matiko lakini zimeshindikana. Vilanza vitisho toka kwa Mkuu wa Wilaya dhidi ya watu walioandamana kupinga uteuzi wa Esther Matiko ambayo sio chaguo la wana CCM Tarime mjini. Baadae kikaitwa kikao cha maridhiano kati ya...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Vyama vyote vya upinzani vilipaswa kuungana kususia uchaguzi kudai reforms

    Kada wa Chama cha ACT Wazalendo na Mbunge wa zamani wa jimbo la Kilwa Kusini Selemani Saidi Bungara (Bwege) amesema anaamini kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiko sahihi kusimamia 'No Reforms, No Election' na kwamba vyama vyote vya upinzani nchini ikiwemo chama chake ilipaswa...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Soud: ACT Wazalendo hawana uwezo wa kuitoa CCM Madarakani, hivyo AAFP itakubali kumpa ushirikiano Dk. Hussein

    Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha Wakulima (AAFP) Said Soud, amekiaasa chama cha ACT Wazalendo kuacha kuhamasisha fujo kwa kisingizio cha kura ya mapema kwani kufanya hivyo ni kuonesha kwamba wana uchu wa madaraka. Pia Said Soud amewaambia ACT WAZALENDO hawana nuwezo wa kuitoa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Monalisa Ndala aishtaki ACT Wazalendo ofisi ya msajili kwa kuvuliwa uanachama

    Aliyekuwa Katibu Mwenezi, ACT-Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Ndala amesema ameiomba Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ichukue hatua kali na za kinidhamu dhidi ya chama hicho kutokana na kuvunja Katiba ya chama na Sheria ya Vyama vya Siasa. Mbali na hilo amesema amewasilisha...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Musiba: Nitashinda ubunge kwa 98%, sitaruhusu kuibiwa kura

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mwibara kupitia ACT Wazalendo Cyprian Musiba ameahidi kuzilinda kura zote atakazopigiwa na wananchi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Musiba amesema hayo Agosti 31, 2025 akizungumza na waandishi wa habari wilayani Bunda akiwaomba wananchi kumpigia kura kwa wingi na...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Monalisa Ndala: Chama changu cha ACT Wazalendo kiniweke miongoni mwa mashujaa

    Kwanza nadhani tuna tamaduni za kuweka picha kwa watu ambao tunaamini ni mashujaa katika chama chetu, kwa hili chama kinapaswa kiniweka kati ya watu mashuhuri wa chama - Monalisa Ndala. Monalisa ameingia kwenye mzozo na chama chake baada ya kupinga uteuzi wa Luhaga Mpina kugombea Urais kupitia...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa apinga kuvuliwa Uanachama ACT Wazalendo

    Kada wa Chama cha ACT Wazalendo Monalisa Joseph Ndala amepinga vikali kuvuliwa kwake uanachama kupitia taarifa iliyotolewa na uongozi wa chama hicho Tawi la Mafifi mkoani Iringa Akizungumza na wanahabari leo Agosti 30, 2025 monalisa ameeleza kuwa taarifa hiyo sio sahihi kwani yeye ni mwanachama...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: ACT Wazalendo na CHAUMMA ni mipango ya kando ya CCM

  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo Tawi la Mafifi Lamfuta Uanachama Monalisa Joseph Ndala

    Kikao cha Kamati ya Uongozi ACT Wazalendo kilichofanyika Tarehe 28 Agosti, 2025 Iringa Mjini, Kata ya Kihesa, Mtaa wa Mafifi, kimepitia na kufanya ukaguzi wa hali za uhai wa Wanachama wake wa Tawi kwa ujumla na kubaini kuwa umepoteza sifa za kuwa Mwanachama halali na hai wa Chama cha ACT...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Flatei Massay awekewa pingamizi Ubunge Mbulu

    Baadhi ya wanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo katika Jimbo la Mbulu-Vijijini, Wilaya ya Mbulu, Mkoani Manyara, wamepeleka pingamizi la kumpinga Mgombea wa kiti cha ubunge kwa tiketi ya chama hicho Flatei Gregory kwenye ofisi ya msimamuzi wa uchaguzi jimbo la Mbulu vijijini kwa madai ya kuwa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dodoma: Mahakama Kuu yaipa Serikali Siku Tano Kujibu Kesi ya ACT Wazalendo Dhidi ya INEC

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Masijala Kuu Dodoma, imetoa muda wa siku tano kwa Serikali kujibu kesi iliyofunguliwa na chama cha ACT Wazalendo na mwanachama wake, Luhaga Joelson Mpina, dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Katika kesi hiyo, ACT Wazalendo na...
  17. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Esther Matiko amuwekea pingamizi mgombe wa ACT-Wazalendo Tarime Mjini

    Mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Tarime Mjini, Esther Nicholas Matiko amemuwekea pingamizi mgombea Ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Act-Wazalendo Ndugu Jackson Ryoba Kangoye. Ikumbukwe katika kura za maoni kugombea Ubunge ndani ya CCM mwaka 2020 Jackson alikuwa mshindi namba...
  18. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Act Wazalendo Tumieni Njia Hii Kupata Uungwaji mkono kutoka kwa Wananchi

    Act wazalendo kubalini kuwa kwenye nafasi ya Urais mmepoteza ila Tumieni rasilimali watu mliyonayo ili kupata Uungwaji Mkono Kutoka Kwa Wananchi kwa kufanya yafuatayo 1: Achaneni na hoja ya kwenda mahakaman maana mnapoteza muda na hamtapata haki yoyote Ile 2: Viongozi wote wakuu mlionao...
  19. O

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nacheka kama Mazuri vilee. Ni wangapi mmeing'amua hii Script iliyochezwa kati ya CCM, Tume na ACT Wazalendo?

    Kidogo nmeanza kuelewa ule msemo kwamba green and yellow wameishiwa mbinu kwa sasa na nadhani katika zile mbinu tulizoambiwaga kwamba jamaa wana mbinu takribani 1000 za kushinda Uchaguzi! Itakuwa hii ndio mbinu ya mwisho kabisa! Iko hivi! Baada ya balozi kutoka na kumwaga mchele kwenye kuku...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana kwa Zitto Kabwe kama kiongozi mkuu na mlezi wa ACT kwa hayo yaliyotokea kuhusu Mpina

    Kwa viongozi wa ACT kushindwa kubaini sheria zao wenyewe hadi kufikia kumpitisha ndugu Mpina kama mgombea urais wa ACT huku akiwa na chini mwezi mmoja tangu ajiunge na ACT ni udhaifu mkubwa mno! La ajabu zaidi sheria ya mgombea kuwa na angalau uanachama wa mwezi mmoja sio sheria ya nchi, ni...
Back
Top Bottom