Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.
Humphrey Polepole, amesema Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu hauna ushindani wa kweli, kwa kile alichodai kuwa kinachoonekana ni “CCM dhidi ya CCM.”
Polepole ameeleza kuwa Chama cha Mapinduzi (CCM) na chama cha upinzani ACT-Wazalendo haviwezi kuonekana kama wapinzani wa dhati, akisisitiza kuwa vyama...
Chama cha ACT Wazalendo kimewasilisha maelezo kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kikieleza msimamo wake kuhusu malalamiko yaliyotolewa na Katibu Mwenezi wa chama hicho Mkoa wa Dar es Salaam, Monalisa Joseph Ndala, kupinga uteuzi wa Luhaga Joelson Mpina kuwa mgombea wa urais wa Jamhuri ya...
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao Luhaga Mpina kwa kusema yeye kama mgombea hakupaswa kuvaa nguo yenye picha ya aliyekuwa kiongozi kwenye chama kingine. Kwa urefu zaidi...
Leo amekuja na mpya tena alivyokuwa East Africa radio kuhusu kuvaa fulana yenye picha ya Hyati JPM, mpina atachomoka kweli wakuu?
Monalisa Joseph Ndala, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa ACT-Wazalendo Dar es Salaam, anazimwaga lawama za kutosha kwa mgombea wa kiti cha Urais kupitia chama chao...
Yah: UVUNJIFU WA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA SURA YA 258, KATIBA NA KANUNI ZA CHAMA CHENU KATIKA MCHAKATO WA UTEUZI WA MGOMBEA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA MKUTANO MKUU WA CHAMA CHENU WA TAREHE 06 AGOSTI 2025
Naomba urejee suala tajwa hapo juu.
Napenda kukutaarifu kuwa, leo...
Katibu mwenezi ACT Wazalendo mkoa wa Dar es salaam Monalisa Ndala leo Agosti 19, 2025 ameandika Barua kwa Msajili wa vyama vya Siasa Nchini kama mlezi wa vyama vya siasa.
Hiyo ni hatua ya pili mara baada ya mara ya kwanza kuandika Barua kwa Katibu wa Chama Cha ACT wazelendo, Kupinga Mhe. Luhaga...
Sakata la kupingwa kwa mtiania wa urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina limefika Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, huku chama hicho kikitakiwa kutoa maelezo kwa ofisi hiyo kesho Jumatano Agosti 20, 2025.
Mzizi wa hilo, ni barua iliyoandikwa na Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es...
Imeandaliwa na Ndg. Humphrey H. Polepole, Mwana CCM wa Imani
1. Msingi wa Kikatiba na Kikanuni
Katiba ya ACT Wazalendo (2024), Ibara 16(4):
"Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania au Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT Wazalendo atakuwa ni mwanachama wa chama kwa kipindi...
actactwazalendo
hana
kugombea
kugombea urais
luhaga mpina
luhaga mpina kugombea urais
mpina
mpina kugombea urais
polepole
sifa
tiketi
uchaguzi mkuu
uchaguzi mkuu 2025
urais
wazalendo
Rosemary Kirigini ambaye aliwahi kuwa Mkuu wa wilaya za Meatu na Maswa mkoani Simiyu amechukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Meatu kupitia chama cha Act Wazalendo.
Pia aliwahi kuwa Mbunge wa viti maalum CCM mkoa wa Mara.Kabla ya kuibukia Act Wazalendo alikuwa Mwenyekiti wa BAWACHA Kanda ya...
Zitto Kabwe(kushoto) na Freeman Mbowe wakiwa bungeni. Picha na Maktaba
Dunia kweli duara.
Leo hii Zitto Kabwe anamiliki chama chake hadi anamringishia Mbowe. Leo Freeman Mbowe hana chama kawa Mtembea pote🤣🤣🤣
Hakika dunia tambala bovu. Mbowe ndo alimuingiza kwenye siasa Zitto Kabwe🤣🤣...
"Wakati tu mchakato umetangazwa, Kiongozi wetu wa Chama, ndugu Dorothy Semu alitangaza hadharani nia yake ya kugombea Urais na alifanya mahojiano na vyombo vya habari na aliendelea kufanya harakati zake za kuwatangazia umma kwamba wakati ukifika atagombea Urais.
"Hadi juzi tumemaliza tulikuwa...
Wakuu.
Mambo yanaendelea kuwa mazuri.
Huyu hapa ni yule mdada aliyepinga Mpina kugombea Urais ACT Wazlendo. Anaitwa Ndala Monalisa. Leo akiwa kwenye interview Wasafi amejitokeza akisema kuwa hajatumwa na yeyote kupinga Mpina kugombea Urais ACT Wazalendo
Akizungumza na kituo cha redio cha East Afrika leo Agosti 18, 2025, Isihaka Mchinjita, Makamu Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Bara, amesema kuwa CHADEMA imefanya kazi kubwa sana katika kujaribu kuuaminisha umma kuwa ACT ni CCM ‘B’ jambo analosema si la kweli bali ni propaganda ya kisiasa.
Chanzo...
Nyie mnaojiita wapinzania chukueni hizi dondoo zitawasaidia sana.
1. LAZIMA MFAHAMU KWA KINA WATANZANIA SIO WAJINGA
2. MTAMBUE KABISA WATANZANIA SIO MBUMBUMBU KAMA MNAVYODHANI
3. MKUBALI KUWA WATANZANIA WALISHAWAKATAA KITAMBO
4. USHAURI WANGU, TAFUTENI KAZI ZA KUFANYA KAZI SIO LAZIMA SIASA TU...
Siku moja baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Ndala kumwandikia barua katibu Mkuu wa chama hicho akipinga kuteuliwa kwa Luhaga mpina kuwa mgombea urais, chama hiccho nacho kimemjibu.
Barua hiyo pia...
Anayepinga uteuzi wa Luhaga Mpina kama mgombea wa Urais kupitia ACT Wazalendo asema kuna viongozi na wanachama wako nyuma yake.
Akiongea na The Chanzo leo Agosti 16, 2025, Monica Ndala, ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa ACT Wazalendo, ameeleza kuwa anategemea kuchukua hatua za ziada kama...
Mwanasiasa mwandamizi aliyewahi kuwa Mbunge wa Viti Maalumu CCM mkoa wa Simiyu, Mkuu wa Wilaya ya Meatu na pia Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) Kanda ya Serengeti, Rosemary Kirigini amejiunga na chama cha ACT Wazalendo.
Kirigini amejiunga na Chama hicho na kutangazwa mbele...
Mgombea urais kupitia chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amepingwa kugombea urais baada ya Katibu Mwenezi wa ACT Wazalendo Mkoa wa Dar es Salaam na Naibu Waziri Kivuli wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Monalisa Joseph Ndala, kumwandikia barua Katibu Mkuu wa Chama hicho akipinga mchakato...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo, Monalisa Ndala amepinga uamuzi wa chama hicho, kumteua Luhaga Mpina kuwania urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, akidai amekosa sifa.
Kada huyo amedai kanuni za chama hicho, zimekiukwa katika uteuzi wa Mpina, kinyume na taratibu na sheria...
Hamjambo wote!
Sijajua Watani zangu, Ngoshaz kwa nini wanapotezaga umakini hasa wakiwa katika nafasi ya kufunga. Yaani karibu na Goli kabisa.
Nitakupa Mfano kupitia JPM.
JPM aliamua kutangaza vita ambayo kwa kweli alikuwa mstari wa mbele kukabiliana na adui zake. Ambao kwa sisi wanasaikolojia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.