act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu Kusoma Hukumu Kesi ya ACT Wazalendo na Mpina Dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi Leo Oktoba 10, 2025

    Hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Chama cha ACT Wazalendo chini ya Bodi ya wadhamini pamoja na Luhaga Mpina kupinga uamuzi wa kuenguliwa na Tume Huru ya Uchaguzi kugombea kiti cha Urais,itasomwa leo saa nane Mchana Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma. Waandishi wa Habari mnakaribishwa kuhudhuria...
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jasper Sabuni: Baada ya OKtoba 29, naiona ACT- Wazalendo ikishirikiana na CHADEMA na kushiriki kikamilifu kuisafisha nchi hii iliyochafuliwa

    Akiwa katika Mahojiano na The Chanzo Mjumbe wa Sekretarieti ya Ilani ya Chama cha ACT-Wazalendo Jasper Sabuni ameelezea maono yake juu ya uelekeo wa ACT- Wazalendo baada ya Uchaguzi Oktoba 29, 2025 " Naiona ACT ikiunganisha nguvu na vyama vingine hususani Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge CUF Jimbo la Kakonko amuombea kura Mshindani wake wa ACT-Wazalendo

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kakonko kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Damas Philbert Damas, amemuombea kura mgombea ubunge mwenzake wa chama cha ACT Wazalendo wa jimbo hilohilo, Olaf Kaboboye, katika tukio lililofanyika Kata ya Katanga, Wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma Tukio hilo lilitokea...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: ACT Wazalendo wanataka nifukuzwe, wamenitoa kwenye Group mtandaoni

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini kwa vipindi viwili mfululizo, Selemani Said Bungara maarufu kama Bwege, amesema kuna juhudi za baadhi ya wanachama wa ACT Wazalendo kutaka afukuzwe kutokana na ukosoaji anaoufanya ndani ya chama hicho, na kufichua kuwa tayari ameondolewa kwenye kundi la...
  5. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo yaahidi kufuta kigezo cha leseni kwa wavuvi

    Chama cha ACT Wazalendo kimeahidi kufuta leseni za wavuvi endapo wananchi watawachagua wagombea ubunge na udiwani kutoka katika chama hicho katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu. Chama hicho kimekosoa utaratibu wa wavuvi kulipia leseni wakati huohuo wakikatwa tozo ya mafuta...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe CCM Kigoma Mjini: ACT walikuja kuniomba kura nikaibiwa simu yangu

    Wakuu, Mwananchi katika jimbo la kigoma mjini ambaye pia ni mjumbe wa balozi CCM amefunguka kuwa timu ya watu wa ACT walimtembelea nyumbani kwake kwaajili ya kumuomba kura lakini wakaondoka na simu yake kitendo ambacho kimetafsiriwa kuwa ni wizi. Tukio hilo limetokea tarehe 25 mwezi September...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Mbunge na Madiwani wa CCM wameshauza Biafra wakidai ilikuwa Mali yao, wamekaa Vikao kazi yao kuuza kila eneo la Wazi

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema Jimbo la Kinondoni lina nafasi kubwa ya kuleta mageuzi ya kimaendeleo endapo litaongozwa na Kiongozi mwenye maono ya kweli, na kudai kuwa kwa sasa maeneo mengi yameuzwa ikiwemo Viwanja vya Biafra na ameahidi ACT ikishinda...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Civid 19 na ACT Wazalendo ni wale wale!

    Civid 19 na ACT Wazalendo ni wale wale! wote wanatumia kuwasaidia CCM hakuna jipya
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto aulizwa na Wananchi, Kura za "Urais tumpe nani?"

    Mmoja wa wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni wa mgombea ubunge wa Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, uliofanyika kata ya Buhanda, alimpa changamoto kwa kumuuliza: "Ubunge tukupe wewe, lakini urais tumpe nani endapo chama chenu hakitasimamisha mgombea wa urais?"...
  10. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nondo (ACT Wazalendo): Nendeni kupia kura kwani ndo hatma yako kwa miaka mitano

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Nondo amewataka wapiga kura kote nchini kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, mwaka huu kwa haki na amani na kuchagua viongozi wao kwa makini ili kupata viongozi bora watakaowaongoza kwa miaka mingine mitano na kuleta maendeleo.
  11. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: Heche aliniambia walitaka kwenda ACT lakini Zitto aliwakataa kwa kuwa wangemuaharibia kwani aliahidiwa mambo mazito na Rais

    Mwanachama wa ACT Selemani Bungala Maarufu kama Bwege anaeleza kuwa wakati mambo yanatokota kipindi cha Mbowe pale CHADEMA, Heche na wenzake walitaka kuhamia ACT Wazalendo lakini Zitto aliwakataa kwa sababu wangeendeleza siasa zao za maneno makali na hivyo kumuharibia kwa Rais ambaye alikuwa...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa: Kama Chama kitakosa Mgombea uzembe niwa Chama na Viongozi, wote waliopo kwenye Uchaguzi watanufaika

    Kada wa Act-Wazalendo Monalisa Ndala amesema kuwa yeye hapaswi kulaumiwa kwa chama hicho kumkosa mgombea urais na wanaopaswa kulaumiwa ni katibu wa chama na mwanasheria wa chama, huku akibainisha kuwa vyama vyote vitanufaika kwa chama hicho kumkosa mgombea urais.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Monalisa Ndala: Mpina angekuwa mpinzani kweli asingevaa Fulana zenye picha ya Magufuli

    Kada wa ACT Wazalendo, Monalisa Ndala, amezungumza mengi kuhusu hali ya kisiasa nchini na kinachoendelea ndani ya chama chake ambacho kilishatangaza kumvua uanachama, ambapo amesema: "Mpina angekuwa mpinzani kweli asingevaa Fulana zenye picha ya Magufuli." Soma > Mpina na T-Shirt yenye picha ya...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge ACT-Wazalendo, Hamad Hashimu, ahamia CCM

    Mgombea wa ACT-Wazalendo Jimbo la Nanyumbu, Hamad Hashimu ametangaza rasmi kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika mkutano wa kampeni wa CCM, Nanyumbu mkoani Mtwara.
  15. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bwege: ACT kukosa Mgombea Katibu Mkuu ajiuzulu

    Kada wa chama cha ACT Wazalendo na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa, Suleiman Bungara amemtaka katibu mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu ajiuzulu nafasi yake katika chama kama baada ya chama hicho kukosa mgombea wa Urais kwa kwa vipindi viwili mfululkizo ambapo yeye mwenye ameita ni...
  16. Parabolic

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo yasisitiza Mpina ni mgombea urais

    Wakati Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ikisisitiza kuwa kuwa Luhaga Mpina sio mgombea urais wa.Jamhuri ya Muungano kwa kuwa alienguliwa, chama cha ACT Wazalendo kimesema bado Mpina ni mgombea wao mpaka kesi mbili zilizofunguliwa ziamuliwe. Mpina alienguliwa Septemba 15, 2025 baada ya INEC...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tume Uhuru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) yasisitiza kuwa Act- Wazalendo hawana mgombea Urais

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imesisitiza kuwa, Chama cha ACT-Wazalendo, hakina mgombea urais wala makamu wa urais. Taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima imeeleza hivi: “Katika tovuti rasmi ya Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT -Wazalendo)...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wanazungumza na Wanahabari leo Saa Sita Mchana, Septemba 22, 2025

    Awali Mkutano huu ulikuwa ufanyike Saa Tano Asubuhi, umesogezwa mbele hadi Saa Sita Mchana, leo Septemba 22, 2025 kwenye Ukumbi wa Maalim Seif ndani ya Jengo la ACT Wazalendo Jijiji Dar es Salaam.
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ado Shaibu aahidi kuwa Mbunge wa Kupigania haki na kutatua Changamoto za wananchi wa Tunduru

    Mgombea wa Ubunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu Ado amevifikia vijiji 40 vya Jimbo hilo kupitia kampeni yake ya Kijiji kwa Kijiji ambayo sasa imefikia siku ya 12 tangu uzinduzi wa kampeni yake tarehe 7 Septemba 2025 Katika kampeni zake amewahaidi...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kigoma: ACT Wazalendo wasitisha Kampeni za Ubunge baada ya kukosa Watu kwenye eneo la tukio

    Chama cha ACT WAZALENDO kimeahirisha mkutano wake wa kampeni za ubunge katika jimbo la kigoma mjini chini ya mgombea ZITTO KABWE, uliopangwa kufanyika siku ya jana september 18 mwaka 2025 katika maeneo ya meti sokoni katika jimbo la kigoma mjini. Licha ya maandalizi ya mkutano huo kukamilika...
Back
Top Bottom