act wazalendo

Alliance for Change and Transparency (ACT) (Swahili: Chama cha Wazalendo, lit. 'Party of Patriots') is a political party in Tanzania. It received its permanent registration in May 2014.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mwenge wa Uhuru wawaunganisha watoto watatu wa mama (CCM na ACT & CHAUMMA) Kibondo

    Kumekuwa na mjadala kuhusu uhusiano unaodhaniwa kati ya ACT-Wazalendo na Chama Cha Mapinduzi (CCM), jambo linalozua maswali kuhusu msimamo thabiti wa ACT kama chama cha upinzani. Wengine wanaona ukaribu huu unaweza kufanya chama hicho ionekane kama kisicho na msimamo thabiti dhidi ya chama...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mjumbe wa Wazee Pemba Kumshawishi Mgombea wa Urais wa ACT Wazalendo Kumpigia Hussein Mwinyi Kura ya “Ndiyo”

    Mjumbe Ngome wa Jumuiya ya Wazee Mkoa wa Micheweni Pemba, Faki Ali Juma kutoka Maziwa ya Ngome amesema atamshawishi Mgombea wa Urais wa Chama Cha ACT WAZALENDO Othman Masoud Othman atie kura yake ya NDIO kwa Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kutokana na maendeleo ambayo ameyafanya kwani kila...
  3. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walioahidiwa Ubunge ndani ya ACT Wazalendo ni watu wawili tu, Zitto Kabwe, Ado Shaibu. Wengine wanatumika tu

    Kutoka vyanzo vya kuaminika kwa asilimia 99.99 ni kwamba Ndani ya ACT Wazalendo ni watu wawili tu walio ahidiwa kubewa ubunge au kupewa ubunge nao ni Zitto Kabwe na Ado Shaibu katibu mkuu wa ACT Wazalendo. Hawa wana baraka kutoka Ikulu kwa Mamana pia hata kwa Mgombea mwenza wa CCN Nduhmgu...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania GE2025 Japo hajapenya kugombea na ni mara yake Luhaga Mpina anaonekana tishio kwa CCM na ACT Wazalendo

    Japo kuna dhana kuwa ACT-Wazakabwe ni CCM B, kuna kitu naona kwa mgombea wake Luhaga Mpina. Inakuwaje CCM wanamuwekea mapingamizi kila kona? Je, ana kitu kinachofanya wamgwaye isijekuwa kama yale ya Tshekedi na Kabila kule DRC ambaye aliwekwa na Kabila akidhani ni boya kumbe naye alikuwa na...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ngome ya Vijana Act Wazalendo yalaani Polisi kupiga wanachama wa CHADEMA ya Lissu

    Unyama na ukatili "Ngome ya Vijana ACT Wazalendo tunalaani vikali ukatili na unyama huu unaofanywa na Jeshi la Polisi dhidi ya Raia wanaotumia haki na uhuru wao wa kufuatilia kesi Mahakamani kwa amani na utulivu. Hili ni shambulio kubwa dhidi ya haki, Demokrasia na uhuru wetu. Hatuwezi kukubali...
  6. Mafunzo ya Udereva

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ikiwa karatasi za kura zilichapishwa bila kuwepo Mgombea wa ACT katika nafasi ya urais je Mpina angeshindaje pingamizi!?

    Huyu ZZB , amekuwa mnafiki Sana , Kama anawatengenezea Ccm mazingira ya kupata 99.9% na kuwatumia wenzake sio sahihi . CCM ina mbinu zake za kupata ushindi , Ila pia Ccm hakuna kitu wanaogopa Kama kupata mtu anayewafunua nguo. Kwa katiba ya ACT, kwa Zitto na n.k maana yake wanajua na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo kumwekea Pingamizi Samia ikidai uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho

    Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza kuwa kitaweka pingamizi dhidi ya uteuzi wa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, kikidai kuwa uteuzi wake haukufuata Katiba na Kanuni za chama hicho Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 14 Septemba 2025 jijini Dar es...
  8. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Omari Said Shabani: ACT Hatuwezi kuchukua gari wakati Watu wametakatisha fedha

    Akielezea uamuzi wa Chama chake kukataa gari kutoka kwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) kwa ajili ya Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, Mwanasheria Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Omari Said Shabani ameeleza hawawezi kuchukua gari wakati kuna mambo hayajazingatia usawa katika mchakato...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto: Sasa kuna Uchaguzi, chaguo ni CCM iliyoshindwa kwa Miaka 60 au ACT ya mabadiliko

    Ameandika Zitto Zuberi Ruyagwa Kabwe "Sasa unaweza kusema kuna Uchaguzi. Wananchi watakuwa na chaguo la wazi kati ya CCM ile ile iliyoshindwa kuendesha nchi kwa miaka 60, gharama za maisha juu, huduma duni za Afya na watu 14M kudumbukia kwenye umasikini katika miaka 5 iliyopita ama ACTwazalendo...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT yakataa gari alilopewa Mpina na INEC

    Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo, Omar Issa Shaaban, amesema chama hicho kimeamua kutopokea gari na walinzi, kwa kuwa kipo vizuri, na badala yake, Tume itumie gari hilo kwa matumizi mengine. "Chama kimenielekeza nikwambie kwamba kwenye rasilimali ya gari tunashukuru tupo vizuri tunaomba...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ACT Wazalendo nitatumia pesa za Mfuko wa Jimbo Kutatua Changamoto za wananchi kwa haraka sana

    Mgombea ubunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Bakari Shingo amewaahidi wakazi wa jimbo hilo kuwa atatumia fedha za mfuko wa jimbo kutatua changamoto zao kwa haraka na kushirikiana nao bega kwa bega katika shughuli za maendeleo.
  12. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Watanzania mkataeni yule mstaafu wa ACT kutoka Magharibi anapokuja kuomba kura. Huyo ni mradi wa CCM

    Watanzania msikubali kurubuniwa na huyo anayetoka kanda ya magharibi mwa ziwa Tanganyika tambueni kuwa huyo siyo mpinzani bali ni mradi halali wa chama tawala( CCM). Wapinzani halisi ni chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambao wanadai reform zifanyike ndio washiriki uchaguzi...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi mnajua kuwa hoja ya kutaka reforms za uchaguzi ilianzishwa na ACT WAZALENDO ila wakaambiwa wanatumika na chama tawala kuipamba katiba mbovu

    ACT kilikuwa chama cha kwanza kuhitaji reforms za kikatiba ili zitusaidie kwenda kwenye uchaguzi huru na wa haki. Lakini hakuungwa mkono akaonekana msaliti anatumiwa na CCM kuiremba katiba.Na wakosoaji wakaenda mbali wakasema wao wanataka katiba mpya sio reforms. Kiuhalisia ACT sio chama...
  14. R

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mgombea Urais Zanzibar wa ACT Wazalendo, Othman Massoud Othman amekosa fomu ya uteuzi kwa Kutokidhi Vigezo vya kuwa Mgombea

    Wakuu habari, Msaada hapa kwa ufafanuzi hii habari ni kama ACT Wazalendo huu mwaka wakubali tu kushindwa yaani siyo Bara wala Visiwani kote ngoma droo
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo yafunguka Mgombea Ubunge kujitoa, Sumbawanga Mjini

    Baada ya Siku kadhaa kupitia aliyekuwa Mgombea wa Ubunge Jimbo la Sumbawanga Mjini kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Edwin Kachoma kutangaza kujitoa katika kinyang'anyiro cha Ubunge kutokana na kutopata ushirikiano kutoka ndani ya chama, hatimaye Uongozi wa Chama Mkoa wa Rukwa umefunguka...
  16. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiza Mayeye: Nikiingia Bungeni nitapigania bajeti ziwafikie

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Kiza Mayeye, amesema iwapo wananchi watampa ridhaa ya kuwa Mbunge wao, atahakikisha anapigania maslahi ya wananchi kwa kuhakikisha bajeti zinazopitishwa bungeni zinawagusa moja kwa moja wananchi na si kufujwa kwenye...
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatima ya Mpina kujulikana septemba 11, 2025

    Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma inatarajiwa kutoa hukumu ya Shauri Namba 21692 la mwaka 2025 kati ya Bodi ya Wadhamini wa chama cha ACT-Wazalendo na Luhaga Joelson Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali siku ya Alhamisi, tarehe 11 Septemba 2025...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanachama wa CHADEMA amnadi mgombea wa ACT Wazalendo

    Monicka Ndungulu, mkazi wa Kata ya Mji Mwema katika Halmashauri ya Mji wa Njombe na mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amesema kwamba licha ya chama chake kutojihusisha na uchaguzi, wananchi wa kata hiyo wanapaswa kuchagua kiongozi mwenye maono badala ya kuangalia itikadi...
  19. T

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarime Mjini; Mgombea wa ACT-Wazelendo, Jackson Kangoye aenguliwa na INEC kumsaidia Esther Matiko

    Baada ya jitihada za CCM Taifa kumbembeleza Ndugu Jackson Kangoye ajitoe kugombea Ubunge Tarime ili kumrahisishia Esther Matiko kushindikana, Tume ya Uchaguzi isiyo huru imeamua kumeungua mgombea huyo. Esther alimuwekea pingamizi ambalo lilitupiliwa mbali. Na akakata rufaa. Lakini rufaa ya...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 ACT Wazalendo: Jeshi la Polisi Liache Kutumika Kisiasa, Katibu wa Jimbo la Kiwani Akamatwa

    TAARIFA KWA UMMMA "Tunaitaka Jeshi la Polisi liache kutumika kisiasa" Tumepokea taarifa, ya kukamatwa usiku mkubwa kwa Katibu wetu wa Jimbo la Kiwani Ndugu. Saleh Ali Masoud na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba na anashikiliwa katika kituo cha Polisi Madungu. ACT Wazalendo, tunalalamika...
Back
Top Bottom