๐—ฑ๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฟ๐˜†

Pierre Derivery (4 November 1925 โ€“ 24 November 2013) was a French sprint canoer who competed from the early 1950s to the early 1960s. Competing in two Summer Olympics, he earned his best finish of tenth in the K-1 10000 m event at Helsinki in 1952.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awataka wanamipango kuwa chachu ya mageuzi ya kiuchumi na utekelezaji

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wanamipango, wachumi, na watendaji wote wa serikali kuongoza mageuzi ya kiuchumi kupitia utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 na Mpango wa Nne wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2026/27โ€“2030/31). Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Alhamisi, Septemba...
  2. JamiiForums Tanzania CRDB na NMB zaingia kwenye orodha ya Forbes ya benki 500 Bora Duniani 2026

    Benki za Tanzania, CRDB Plc na NMB Plc, zimeingia kwenye orodha ya Forbes ya Benki Zinazofanya Vizuri Zaidi Duniani mwaka 2026, zikishika nafasi miongoni mwa benki 500 zilizotathminiwa kutoka nchi 89. Benki hizo zimewekwa kwenye Kundi la 6, linalojumuisha benki zenye mali zenye thamani ya kati...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awasili Arusha, kufungua kongamano la wanamipango

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili mkoani Arusha leo Jumatano, Septemba 16, 2026, ambapo amepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Arusha na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, pamoja na viongozi wengine wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali. Dkt. Mwigulu yupo mkoani Arusha kwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ, ๐—”๐—น๐—ด๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ

    ๐—ง๐—ฎ๐—ป๐˜‡๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ฎ, ๐—”๐—น๐—ด๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐˜‚๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ผ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ธ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜ƒ๐—ถ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜„๐—ฎ Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda vya Dawa wa Algeria, Dkt. Wassim Kouidri, katika ofisi za wizara hiyo jijini Algiers. Mazungumzo hayo yalihusu...
  5. JamiiForums Tanzania ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—น๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฟ๐˜‚๐—ต๐˜‚๐˜€๐˜‚ ๐—ถ๐—ฝ๐—ต๐—ผ๐—ป๐—ฒ ๐—บ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ ๐—ก๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐—ฎ๐—ฑ๐—ถ๐—น๐—ถ ๐—น๐—ถ๐—ป๐—ฒ

    ๐ŸŽ Apple kufanya mapinduzi makubwa ya Teknolojia kwa watumiaji wa iphone ulimwenguni ๐Ÿ‘Š. Apple kuja na feature mpya ambayo itaweza kuruhusu iPhone mbili kutumia namba moja ya simu kupitia Mfumo wa eSIM. ๐Ÿคฏ๐Ÿ“ฒ๐Ÿ“ฒ Maana yake? Unaweza kuwa na iPhone yako ya kawaida na nyingine ya ziada, huku...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu awasili Katavi kushiriki jubilei ya miaka 25 ya jimbo katoliki la Mpanda

    DKT. MWIGULU AWASILI KATAVI KUSHIRIKI JUBILEI YA MIAKA 25 YA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Agosti 30, 2026, amewasili Mpanda mkoani Katavi kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Jubilei ya Miaka 25 ya Jimbo Katoliki la Mpanda. Maadhimisho hayo yanafanyika...
  7. JamiiForums Tanzania TikTok imeweka mfumo wa voice call kama WhatsApp

    TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp ๐Ÿ‘‹, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! ๐Ÿ“ฑ๐Ÿ“ž Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Na hii ni hatua nyingine ya TikTok...
  8. JamiiForums Tanzania ๐—–๐—›๐—”๐—ง๐—š๐—ฃ๐—ง ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ณ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ธ๐—ฒ๐—ฟ๐˜€ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

    Hatimaye ChatGPT inaleta feature ambayo inaweza kubadilisha kabisa namna tunavyotengeneza stickers za WhatsApp!๐Ÿคฏ๐Ÿ”ฅ Ebu Fikiria ukiwa ndani ya ChatGPT tu ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ–ผ๏ธ Kuchagua picha au kueleza sticker unayotaka. โœ‚๏ธ AI ikaondoa background na kuandaa picha kama sticker. ๐Ÿ˜‚ Kutengeneza sticker mpya kabisa...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Government launches emergency Food relief for Karamoja

    The Government of Uganda has rolled out an emergency food relief intervention to support households in the Karamoja sub-region, where a prolonged dry spell has severely disrupted agricultural production and heightened food insecurity. The relief package, comprising 9,419,610 kilogrammes of...
  10. JamiiForums Tanzania ๐Ÿ“Bajeti ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฒ/๐Ÿฎ๐Ÿณ si ya matumizi pekee bali ni ramani ya uchumi wa baadaye

    โœ๏ธKilichoifanya Bajeti ya 2026/27 kuwa ya kipekee si ukubwa wake pekee, bali ni mwelekeo wake wa kimkakati katika kujenga uchumi unaozalisha utajiri, ajira na fursa kwa wananchi. Kwa mara ya kwanza kwa kiwango kikubwa, msingi wa bajeti unaonekana kujengwa juu ya nguzo kuu za uzalishaji ambazo...
  11. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kutoka kushindwa Uchaguzi, hadi Siasa za Huruma: Hoja kuhusu Mkakati wa CHADEMA

    Je, unafanya nini ikiwa unaongoza chama cha upinzani ambacho, kwa ukweli kabisa, hakina uwezo wa kushinda uchaguzi kwa sababu hakijawahi kuwasilisha mawazo au sera za maana kwa wapiga kura tangu kilipoingizwa kisiasa kwa ushawishi wa serikali ya kigeni, na sasa kinaelekea kupata tena kushindwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaifungua Tanzania kwenye Jukwaa la kimataifa

    โ– Majadiliano ya kuongeza thamani ya mazao na uzalishaji wa viwandani โ– Ushirikiano katika sekta za nishati, madini na miundombinu โ– Kuimarisha mahusiano ya kiuchumi kwa manufaa ya wananchi.
  13. JamiiForums Tanzania ๐—ฆ๐—”๐— ๐—œ๐—” ๐—”๐—ก๐—”๐—ก๐—”๐——๐—œ ๐——๐—œ๐—ฅ๐—” ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฑ๐Ÿฌ ๐—ž๐—ช๐—” ๐—ช๐—˜๐—ž๐—˜๐—ญ๐—”๐—๐—œ.

    ๐Ÿ”ท Kupitia Kongamano la Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi, Rais Samia anatarajiwa kuwasilisha fursa za kimkakati zilizopo katika sekta za nishati, kilimo, madini na miundombinu. ๐Ÿ”ท Kutunukiwa Shahada ya Heshima kunadhihirisha heshima ya Tanzania kimataifa na kuimarisha jitihada za kunadi Dira ya...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia aibadili Bagamoyo Mdogomdogo

    โœ…๏ธWakati Bandari ikijengwa, wawekezaji 24 waanza kazi. โœ…๏ธBunge lavutiwa ujenzi Kiwanda cha Nguo cha Sinovest. โœ…๏ธTISEZA yaiita hatua kwenda uchumi wa Dola triln 1.
  15. JamiiForums Tanzania Nguvu ya CCM haibebwi kwenye mabasi, inabebwa na mioyo ya watu

    Katika miaka ya karibuni tumeshuhudia jambo moja kubwa likijidhihirisha wazi: Nguvu ya CCM haibebwi kwenye mabasi, inabebwa kwenye mioyo ya watu. Watu hawalazimishwi, hawachukuliwi kwa nguv,wanajitokeza wenyewe, kwa hiari, kwa imani, na kwa uzalendo. CCM imeendelea kusimama imara kwa sababu...
  16. JamiiForums Tanzania Sina Deni anapenda Maswali: Kwa nini biashara ndogo Tanzania zinapata ugumu wa kukuza mitaji?

    Sekta ya ๐— ๐—ฆ๐— ๐—˜๐˜€ nchini Tanzania ndiyo uti wa mgongo wa uchumi wetu, lakini pia ndiyo sekta inayobeba kiwango kikubwa zaidi cha โ€œ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฝ๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—น ๐—บ๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ฎ๐—น๐—ถ๐˜๐˜†โ€ โ€” yaani kufa kwa biashara na kupotea kwa mtaji kabla biashara haijakomaa. Tafiti zinaonyesha kuwa SMEs zinachangia takribani ๐Ÿต๐Ÿฑ% ๐˜†๐—ฎ ๐—ฏ๐—ถ๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ฎ ๐˜‡๐—ผ๐˜๐—ฒ...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kuonesha umoja wa kitaifa

    Ni wazi kuwa uongozi wa Mama Samia unaendelea kuonyesha sura ya upendo, mshikamano na umoja wa kitaifa. Kupitia salamu hizi za heri ya Eid Al Adha, ameonesha kuwa yeye ni kiongozi wa wote anayejali waumini wa dini zote bila ubaguzi na mwenye kuamini kuwa Tanzania ni ya Watanzania wote bila...
  18. JamiiForums Tanzania ๐–๐š๐ญ๐ฎ๐ฆ๐ข๐š๐ฃ๐ข ๐ฐ๐š ๐ข๐ง๐ญ๐š๐ง๐ž๐ญ๐ข ๐ฐ๐š๐ฆ๐ž๐จ๐ง๐ ๐ž๐ณ๐ž๐ค๐š Nchini Tanzania

    โžก๏ธMachi 2025: Watumiaji milioni 49.3 โžก๏ธMachi 2026: Watumiaji milioni 58.9 Hii ni ongezeko la asilimia 19.5.
  19. U

    JamiiForums Tanzania ๐——๐—ธ๐˜. ๐— ๐˜„๐—ถ๐—ด๐˜‚๐—น๐˜‚ ๐—ก๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ: ๐—ž๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐˜‡๐—ถ, ๐—ž๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐˜‡๐—ฎ๐—น๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ผ ๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—ธ๐—ฎ

    ๐——๐—ธ๐˜. ๐— ๐˜„๐—ถ๐—ด๐˜‚๐—น๐˜‚ ๐—ก๐—ฐ๐—ต๐—ฒ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ: ๐—ž๐—ถ๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ผ๐˜‡๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ž๐—ฎ๐˜‡๐—ถ, ๐—ž๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐˜‡๐—ฎ๐—น๐—ฒ๐—ป๐—ฑ๐—ผ ๐—ฎ๐˜€๐—ถ๐˜†๐—ฒ๐—ฐ๐—ต๐—ผ๐—ธ๐—ฎ Katika kipindi cha siku chache tu, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba ameendelea kudhihirisha mfano wa uongozi wa vitendo, uchapakazi na kujituma kwa kiwango cha juu katika kuwahudumia Watanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ