Rais Samia aibadili Bagamoyo Mdogomdogo

Rais Samia aibadili Bagamoyo Mdogomdogo

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
528
Reaction score
498
✅️Wakati Bandari ikijengwa, wawekezaji 24 waanza kazi.

✅️Bunge lavutiwa ujenzi Kiwanda cha Nguo cha Sinovest.

✅️TISEZA yaiita hatua kwenda uchumi wa Dola triln 1.
20260601_075802.jpg
 
Tupate burdan kutoka kwa wadhamini
 
✅️Wakati Bandari ikijengwa, wawekezaji 24 waanza kazi.

✅️Bunge lavutiwa ujenzi Kiwanda cha Nguo cha Sinovest.

✅️TISEZA yaiita hatua kwenda uchumi wa Dola triln 1.View attachment 3598995
Tumeua viwanda vyetu vya nguo sasa tumempa mchina aanzishe viwanda vya nguo bagamoyo. Alafu tunalipuka kijuha eti Samia aibadili Bagamoyo,…ujinga!
 
Back
Top Bottom