Search results

  1. luse

    Jifunze Computer Science bila kwenda chuo

    Technology ni kati ya field ambazo inakua na kubadilika kila siku. Na hii imefanya watu wengi wawe interested nayo, maybe it's because of how big an impact technology has in our lives au the way people can create amazing things kwa kutumia technology. Whatever the reason is, hii imefanya watu...
  2. luse

    Tukiachana na mobile money platforms, je Tz tuna any other payment processors?

    Kadri dunia inavozidi kwenda ndo jinsi technology inavozidi kukua. Sikuhizi the most popular mode of payment duniani ni cashless. Yani mtu mnafanya biashara bila kupeana ela mkononi. Na a popular form ya kuaccept payments ni kwa kutumia a payment processor. Hii ni very helpful kama unafanya...
  3. luse

    Hivi Tanzanian banks zina api?

    Jamani naomba kuuliza, hivi bank za tanzania zina api? specifically open apis. If so, how accessible are they?
  4. luse

    Jibu ndiyo au hapana...

  5. luse

    Kipi ni muhimu katika mahusiano; dini, love au kabila?

    Mara nyingi watu kabla hawajaingia kwenye mahusiano huwa wanaangilia vitu kadhaa, ukiachana na vitu kama elimu, umri n.k, moja ya vitu vikubwa watu wanavoangalia ni dini na upendo na kabila. So lets discuss kwako ni kitu gani unaona ni cha muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano, au hata ndoa...
  6. luse

    Watu wako kwenye kulinda ndoa zao...

    Wewe kama boss utamkubalia au kukataa her leave of absence application?
  7. luse

    Taja kitu kimoja kizuri ambacho ex wako alikuwanacho

    Mara nyingi watu wanapokuwa wanazungumzia ma ex wako, huwa wanawazungumzia in a bad light. Mara utasikia wakisema ex wao alikuwa mchoyo, katili, hajui kucare, machafu, mbahili, muongo, mchunaji n.k Mara chache sana utasikia mtu akimzungumzia ex wake in a good light, e.g ex wake alikuwa mpole...
  8. luse

    Ukiambiwa u-dedicate nyimbo mbili kwa mwenza wako au mtu umpendaye, utachagua nyimbo gani?

    Kama kichwa cha mada kinavosema, umepewa nafasi ya ku-dedicate nyimbo mbili kwa mwenza wako au mtu umpendae/thamini e.g parents, friend, lover, siblings, secret admirer etc What songs will you choose? Lets hear them...
  9. luse

    Ni jambo gani umejifunza kutokana na mahusiano yako yaliyopita?

    Katika relationships watu hujifunza mambo mengi sana, yanaweza yakawa mazuri au mabaya. So kama kichwa cha mada kinavosema, what lessons did you learn from your past or last relationship? Lets discuss.
  10. luse

    Ukumbusho: Mke wa mtu sumu

    Watu wanajisahau sana siku hizi, kazi kula vya wenzao tu. Just posting this video ilikuweka reminder kwa wale wanaopenda kugonoka na wake za watu, kuwa hata hili linaweza likawatokea na wao pia. Zamani watu walikuwa wananatana, naona hii style ya kamata mwizi imerudi tena. The video below, ni...
  11. luse

    Ukiachana na wazazi wako, ni mtu gani mwingine amekuwa na mchango mkubwa katika maisha yako?

    Katika maisha huwa tunakutana na watu mbalimbali, hawa watu kutokana na michango yao ndo wanakuwa wametuwezesha kufika hapa tulipo. Michango yao inaweza ikawa positive au negative, lakini through hii michango yao ndo huwa it makes us who we are today. Mara nyingi wazazi/walezi ndo wanakuwa na...
  12. luse

    Kwa wale ambao mmeshawai-cheat, ni sababu gani ilikupelekea kufanya hivyo?

    Kama kichwa cha mada kinavosema; kwa wale ambao milishawai-cheat on your partners, why did you do it? ilikuwajekuwaje? Na kwa wale ambao walitembea na mtu anae-cheat on their partner...pia tiririkeni. Inaweza ikawa ni sababu iliyo na mantiki au isiyo na mantiki, so please share with us...
  13. luse

    Ukigundua kuwa partner wako amecheat, je waweza kumsamehe?

    Mahusiano yana changamoto nyingi, na moja ya changamoto hizo ni pamoja na watu kusalitiana. Watu hucheat kutokana na sababu mbalimbali, zingine zinazoeleweka na zingine zisizoeleweka. Mfano unakuta mtu hamjali their partner, au labda mpaka partner wake ampe mechi ni kwa mbinde kweli.... Hizi...
  14. luse

    Is sex overrated?

    Guys, embu lets discuss hili swala. Watu wengi huchukulia sex kama jambo kuuubwa, na wengine they go to extreme measures iliku-have sex. Na watu ambao either ni mabikra au hawaja-sex kwa muda mrefu, society inawaona kama waajabu na as if they are missing out on something. Watu wengine wamebaki...
  15. luse

    Kama ungekuwa na kitu cha kumshauri mtu kuhusu mahusiano, ungemshauri nini

    Imagine upo na ndugu, rafiki, au jamaa na anakuomba uumpe ushauri wa kuzingatia akiwa kwenye mahusiano. Ningemwambia katika mahusiano, never put up with bullshit. Unakuta mtu yupo na a partner ambae labda badala ya kukaa chini na kuongelea tatizo lililopo kati yenu, mara huyo partner afanye...
  16. luse

    Ni ndoto gani uliyowaiota ambayo huwezi kuisahau

    Kuota ndoto ni jambo ambalo kila mwanadamu hulifanya, hata wale ambao wanasema kuwa hawaoti. They do, they just don't remember their dreams. Kuna tafiti zinaonyesha kuwa hata, wanyama mbalimbali nao wanaota. Fun fact kuhusu ndoto; sura zote unazoziona kwenye ndoto zako ni za watu ambao...
  17. luse

    Earth From Space

    Kuna a live stream recording of earth from ISS, its been on since September i think. Thought you guys might like to view it.
  18. luse

    The Five Stages Of Drunkness!!

    Stage 1 – SMART This is when you suddenly become an expert on every subject in the known universe. You know you know everything and you want to pass on your knowledge to anyone who will listen. At this stage you are always RIGHT. And of course, the person you are talking to is very WRONG.This...
  19. luse

    Most experts suggest that one should open with a joke. Obviously, they've never heard me tell a joke

    When I was preparing for this speech I asked my family for advice. One member replied, "There's a first time for everything, so try to be funny and brief" Thank you for the privilege of speaking to you in this magnificent auditorium. You know the meaning of the word auditorium, don't you? It...
Back
Top Bottom