Ukiambiwa u-dedicate nyimbo mbili kwa mwenza wako au mtu umpendaye, utachagua nyimbo gani?

luse

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
592
1,044
Kama kichwa cha mada kinavosema, umepewa nafasi ya ku-dedicate nyimbo mbili kwa mwenza wako au mtu umpendae/thamini e.g parents, friend, lover, siblings, secret admirer etc What songs will you choose?

Lets hear them...
 
Back
Top Bottom