luse
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 592
- 1,044
Mahusiano yana changamoto nyingi, na moja ya changamoto hizo ni pamoja na watu kusalitiana.
Watu hucheat kutokana na sababu mbalimbali, zingine zinazoeleweka na zingine zisizoeleweka.
Mfano unakuta mtu hamjali their partner, au labda mpaka partner wake ampe mechi ni kwa mbinde kweli.... Hizi sababu obviously zinaweza zikamsababisha mtu acheat.
Sababu zingine ni kutokana na tamaa tu ya mtu. Hii ndo sababu ambayo haieleweki.
So tusema ukagundua kuwa partner wako alicheat either mara moja au mara nyingi, je utamsamehe?
Lets discuss.