Kwa wale ambao mmeshawai-cheat, ni sababu gani ilikupelekea kufanya hivyo?

luse

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
592
1,044
Kama kichwa cha mada kinavosema; kwa wale ambao milishawai-cheat on your partners, why did you do it? ilikuwajekuwaje? Na kwa wale ambao walitembea na mtu anae-cheat on their partner...pia tiririkeni.

Inaweza ikawa ni sababu iliyo na mantiki au isiyo na mantiki, so please share with us...
 
mimi nitakuwa mkweli japo wengi watakuja na excuses kibao ili ku_justify makosa yao...

japo stress za mahusiano huwa ni moja ya sababu ila kwangu mimi nahisi ilikuwa tamaa na mpaka leo tamaa bado inaleta shida nyumbani wangu yan ikipita wiki wife hajanikejeli ni ishu yan ikitokea nimechelewa kidogo home itaingia txt yake ikisema "upo wapi malaya nikupendae!

aliwah kuniambia akil nayoitumia ktk mambo ya umalaya ningeitumia kutafta pesa tungekuwa mataji sana ila akil yngu inawaza matanio ya wanawake tuu

pia aliwah kusema>>"una malaya zako kibao lakin ajab sijawah kuona hata msg zao,kukupigia wala kukukuta nao yan inaelekea unatumia akil nying sana kulatibu umalaya wako,natumain kuna siku utatumia akil hizo kulatibu maisha ili tuishi badala ya kuwa wasindikizaj wa watu wanaoishi"

>>>hata hii status/signature niliyoweka ni yy hunambia maneno haya....najiuliza siku ya purnishment of errors itakuaje yan nahsi ataniua maana adhab ya niliyokosa nahsi ni hiyo,kuna jamaa aliwah anzisha thread humu ikisema kitu gan hutakisahau maishan nilielezea siku nimekaa na ndgu zangu ghafla akatokea mtoto nimefanana nae ila simjui ananambia "shikamoo baba"kabla sijamaliza kushangaa akatokea mwanamke ambaye niliachana nae baada ya kumpa pesa akatoe mimba kumbe yy alilea!ajab wife aliposkia akanikomalia nianze kutuma matunzo kwa Franco(mtoto niliyetelekeza),

baada ya kujua kama mtoto anaitwa Franco wife alinambia"husband kumbe unapenda nyimbo za Franco wa TP ok jazz toka zaman naona hata malaya wenzako wanajua na wanaamua kuita watoto majina ya wasanii unaowapenda sana,nangoja siku ya kumpokea pepe kale maana na yy unapenda sana nyimbo zake haswa ile ya HIDAYA"

huyu mwanamke kavumilia mengi toka ujana wangu so nahisi siku ya kuniadhibu itakuwa ni kunitoa roho tuu na ikitokea kanitoa uhai nahisi hata siku ya hukumu kosa hili hatohukumiwa maana nimeshamehe kabla hajatenda kosa

YANI KUNA MUDAA HUWA NNATAMANI ACHEPUKE APUNGUZE HASIRA ZAKE JUU YANGU LAKIN YY NA WATOTO YAN AKIL YAKE NI FAMILY TUU
 
japo stress za mahusiano huwa ni moja ya sababu ila kwangu mimi nahisi ilikuwa tamaa na mpaka leo tamaa bado inaleta shida nyumbani wangu yan ikipita wiki wife hajanikejeli ni ishu yan ikitokea nimechelewa kidogo home itaingia txt yake ikisema "upo wapi malaya nikupendae!
Naona umeamua tu kuwa honest, na nikweli mara nyingi tamaa ndo huwa inawaponza watu
 
mimi nitakuwa mkweli japo wengi watakuja na excuses kibao kama ili ku_justify makosa yao...

japo stress za mahusiano huwa ni moja ya sababu ila kwangu mimi nahisi ilikuwa tamaa na mpaka leo tamaa bado inaleta shida nyumbani wangu yan ikipita wiki wife hajanikejeli ni ishu yan ikitokea nimechelewa kidogo home itaingia txt yake ikisema "upo wapi malaya nikupendae!
 
Kama mngejua maana ya kucheat i think kila mmoja angejijua ameshacheat kuna madem humu maofic wanashikwa shikwa wanaliwa mate bado tuu kutoa hiyo papuchi then utamsikia nae anasema hajawahi kucheat
Good point. Wengi wanadhani cheating ni lazima iwe physical a.k.a have sex. hata hiyo uliyoielezea inaweza ikahesabika kama cheating, nyingine ni texting, watu wana-flirt, sext, wanatumiana mapicha n.k napo pia ni cheating
 
Kama mngejua maana ya kucheat i think kila mmoja angejijua ameshacheat kuna madem humu maofic wanashikwa shikwa wanaliwa mate bado tuu kutoa hiyo papuchi then utamsikia nae anasema hajawahi kucheat
 
Kama mngejua maana ya kucheat i think kila mmoja angejijua ameshacheat kuna madem humu maofic wanashikwa shikwa wanaliwa mate bado tuu kutoa hiyo papuchi then utamsikia nae anasema hajawahi kucheat
Kucheat ni neno pana, ila wengi wanajua ni mpaka uunganishe vikojoleo. Kumbe hata kihisia unacheat tu, flirting ndio kabisaaa.
 
Back
Top Bottom