luse
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 592
- 1,044
Kuota ndoto ni jambo ambalo kila mwanadamu hulifanya, hata wale ambao wanasema kuwa hawaoti. They do, they just don't remember their dreams.
Kuna tafiti zinaonyesha kuwa hata, wanyama mbalimbali nao wanaota.
Fun fact kuhusu ndoto; sura zote unazoziona kwenye ndoto zako ni za watu ambao ulishawahi waona katika maisha yako, sema tu hatukumbuki.
Katika hizi ndoto, zipo ambazo huwa hatuwezi kuzisahau. Zinaweza zikawa ni zakufurahisha, kuhuzunisha, kukasirisha, kuchekesha n.k
So embu tushare with the community, ni ndoto gani uliyowaiota ambayo huwezi kuisahau.
I'll start.
One of my most memorable dreams, niliota nakimbizwa na ng'ombe, sijui hata kwa nini alikuwa ananikimbiza, ila baada ya kuchoka kumkimbia... niligeuka na tukaanza kuzichapa. Tulibondana haswa!
Hii ndoto huwa naikumbuka sana, nikiikumbuka nabaki kucheka tu. Maana it doesn't make sense at all.