Ni jambo gani umejifunza kutokana na mahusiano yako yaliyopita?

luse

JF-Expert Member
Jun 9, 2012
592
1,044
Katika relationships watu hujifunza mambo mengi sana, yanaweza yakawa mazuri au mabaya. So kama kichwa cha mada kinavosema, what lessons did you learn from your past or last relationship?

Lets discuss.
 
Hapo kwenye what lesson kumenisababisha niweke dots, nikizuunganisha nitarudi
 
1) tumia akili kupenda sio hisia za mwili kukuendesha
2) chanzo cha furaha yako ni wewe mwenyewe, usimtegemee mtu mwingine ndio akupe furaha
3) usilazimishe kupendwa na mtu alie kuchoka
4) mthamini sana mtu anaekuheshimu na kukupenda hata kama hana pesa au hakuridhishi kitandani
 
Waweza mpenda mtu ukajiona umefika kumbe ukigeuka tu akuzomea, nilidhani nilikuwa muhimu kwake kumbe aliniona nothing. And from that day he left me I just let him go, and now I love my self. I will never give my heart to anyone in this world. Let me die na utamu wangu, I don't trust anyone because of his faults.
 
Back
Top Bottom