luse
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 592
- 1,044
Guys, embu lets discuss hili swala.
Watu wengi huchukulia sex kama jambo kuuubwa, na wengine they go to extreme measures iliku-have sex.
Na watu ambao either ni mabikra au hawaja-sex kwa muda mrefu, society inawaona kama waajabu na as if they are missing out on something. Watu wengine wamebaki kuwaza ngono 24/7, na hii inajidhihirisha katika matendo yao na the way they talk about sex.
Hii inafanya sex huwa over-hyped. Hii pia inawafanya watu wachukulie sex kama the be-all and end-all, hasa katika mahusiano.
So tujadili, je is sex overrated?