Search results

  1. D

    Solar drier/ kaushio la mboga linalotumia mwanga wa jua

    Salam wanajamvi. Tafadhali naomba mawasiliano ya fundi anaetengeneza kaushio la mboga linalotumia mwanga wa jua. Asanteni.
  2. D

    Mabanda ya nguruwe

    Ninahitaji mabanda ya nguruwe ya kukodisha. Mwenye mabanda au information tafadhali tuwasiliane. Yawe Dar es Salaam. 0758830045
  3. D

    Mawaziri wenye wake ATCL ni Mawaziri gani?

    Salam wanajamvi. Hivi hawa wake za mawaziri waliopo ATCL ni wake za mawaziri nani? Thanks
  4. D

    Unahitaji mbao laini kutoka Iringa? Tuwasiliana

    Ninauza mbao za miti aina ya pine kutoka Iringa za size zifuatazo: 1 kwa 10, 1 kwa 8, 2 kwa 6, 2 kwa 4 na 1 kwa 6. Na urefu wa futi 12. Kwa mahitaji yako ya mbao kwa jumla na reja reja kwa Dar es Salaam tuwasiliane. Karibuni sana. 0758830045/ I supply softwood timber from Iringa. Timber of the...
  5. D

    Naomba kufahamishwa bei ya semi-trailler

    Wanajamvi naomba anaejua bei ya semitrailer kama zile zinazosafirisha mbao kutoka Iringa anifahamishe. Naomba bei ya kichwa na ile flatbed. New and used. Asanteni
  6. D

    Naomba ushauri wa site ya kuuza mbao Dar es Salaam

    Wanajamvi salam sana. Ninahitaji sehemu ya kuuza mbao. Kwa sasa ninafanya biashara ya kusafirisha mbao kutoka Iringa kuja Dar (mbao laini). Nimetamani na mimi kuwa na yard. Mwenye habari naomba anisaidie yafuatayo: 1) Mahali pa kuweka yard ya kuuza mbao. Na mawasiliano ya simu kwa ajili ya...
  7. D

    Naomba kuulia, hii Echo-Aid ni kampuni halali?

    Mke wangu aliomba nafasi ya kazi iliyokuwa posted kwenye mtandao wa zoomtanzania.com. Ilikuwa inatangazwa na echo-aid (Echo Aid Fund – Humanitarian Assistance). Kwenye zoom walisema wapo based Dar lakini baadae wakaonyesha wapo Mwanza. Walimwandikia mail kwamba wamemshortlist, lakini ni lazima...
  8. D

    Maneno maneno bila hatua muafaka Inakera

    Salam wanajamvi. Inasikitisha kwamba nchini mwetu kuna tabia mbaya ya kutuhumiana bila kufikia hatua ya kwenda kwenye vyombo vya kisheria vyenye mamlaka ya kukanusha au kuthibitisha tuhuma ili hatua zichukuliwe. Nitatoa mifano michache: 1) Mtakumbuka wakati bomu lilipolipuka kwenye mkutano wa...
  9. D

    Mabanda ya kukodisha

    Ninahitaji mabanda ya kukodisha kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe au kuku. Yeyote mwenye mabanda hayo au anaejua mahali yanapopatikana katika jiji la Dar tafadhali anifahamishe. Namba yangu ni 0714786186. Thanks
  10. D

    Calculation of fixed account interest rates

    Hi wanaJF, Naomba msaada. Nimejaribu kukokotoa interest rates za fixed account kwenye bank moja hapa nchini kwa kutumia nested if function kwenye excel. Lengo langu, kama sehemu ya kujifunza MS Exel, ni kupata formula moja ambayo itafaa kwa viwango vyote vya pesa. Imekubali kwenye category...
  11. D

    Leseni za dhahabu

    Hi wanaJF. Nina leseni mbili za uchimbaji mdogo (primary mining licence) kwa ajili kuchimba dhahabu Magambazi wilaya ya Handeni, kwenye eneo la hekta 10. Kama kuna mtu ana interest tuwasiliane ili tuingie ubia. KARIBUNI
  12. D

    Ninauza viwanja

    Ninauza viwanja viwili. Kimoja kipo Arusha kijiji cha Moshono Kati. Ukifika Moshono bus stand ukitokea Arusha Mjini unafuata barabara ya vumbi mkono wa kulia. Ni mwendo wa robo saa tu kwa mguu. Kina ukubwa wa mita 33 kwa 25. Hakijapimwa. Maji na umeme havipo mbali. Bei ni shilingi milioni 20...
  13. D

    Serikali yadanganya kuhusu mradi wa maji korogwe

    Aidha kwa bahati mbaya au kwa makusudi, Waziri wa Tamisemi ndugu Aggrey Mwanri aliliambia bunge kuhusu mradi wa maji wa Sakare- Bungu umeendelea kutengewa hela na serikali (Gazeti la Mwananchi tarehe 21/6/2012). Hizi habari sio za kweli. Toka ulipoanza mpaka sasa mradi huu umekuwa...
  14. D

    Serikali yadanganya kuhusu mradi wa maji korogwe

    Aidha kwa bahati mbaya au kwa makusudi, Waziri wa Tamisemi ndugu Aggrey Mwanri aliliambia bunge kuhusu mradi wa maji wa Sakare- Bungu umeendelea kutengewa hela na serikali (Gazeti la Mwananchi tarehe 21/6/2012). Hizi habari sio za kweli. Toka ulipoanza mpaka sasa mradi huu umekuwa ukifadhiliwa...
Back
Top Bottom