Ninauza viwanja

dalbega

Member
Apr 13, 2012
99
32
Ninauza viwanja viwili. Kimoja kipo Arusha kijiji cha Moshono Kati. Ukifika Moshono bus stand ukitokea Arusha Mjini unafuata barabara ya vumbi mkono wa kulia. Ni mwendo wa robo saa tu kwa mguu. Kina ukubwa wa mita 33 kwa 25. Hakijapimwa. Maji na umeme havipo mbali. Bei ni shilingi milioni 20.

Kingine kipo Korogwe Tanga. Kina ukubwa wa mita 36 kwa 36. Kipo Mtonga juu. Umbali wa robo saa kwa gari kutoka kati kati ya mji. Bei ni shilingi milioni 4 na nusu. Mawasiliano 0714786186. Kwa wanaomaanisha tu tafadhali.
 
Mkuu hicho cha moshono vipi kwa mil 15 tunaweza fanya bussines
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom