Wanajamvi salam sana. Ninahitaji sehemu ya kuuza mbao. Kwa sasa ninafanya biashara ya kusafirisha mbao kutoka Iringa kuja Dar (mbao laini). Nimetamani na mimi kuwa na yard. Mwenye habari naomba anisaidie yafuatayo:
1) Mahali pa kuweka yard ya kuuza mbao. Na mawasiliano ya simu kwa ajili ya ufuatiliaji tafadhali.
2) Kama hilo haliwezekani nitashukuru nikipata ushauri wa mahali pazuri pa kuweka site. Ninavyoona mimi Mwenge na Buguruni pameshajaa. Kama hali ni tofauti nitashukuru kujua.
Utani na kejeli hapana tafadhali. Niko tayari kutoa malipo ya udalali. Asante.