Unahitaji mbao laini kutoka Iringa? Tuwasiliana

Unahitaji mbao laini kutoka Iringa? Tuwasiliana

dalbega

Member
Joined
Apr 13, 2012
Posts
99
Reaction score
32
Ninauza mbao za miti aina ya pine kutoka Iringa za size zifuatazo: 1 kwa 10, 1 kwa 8, 2 kwa 6, 2 kwa 4 na 1 kwa 6. Na urefu wa futi 12.

Kwa mahitaji yako ya mbao kwa jumla na reja reja kwa Dar es Salaam tuwasiliane. Karibuni sana. 0758830045/ I supply softwood timber from Iringa. Timber of the following sizes: 1 by 10, 1 by 8, 2 by 6, 2 by 4 and 1 by 6. If you are in Dar es Salaam and you need timber let's get in touch. My number is 0758830045
 
Back
Top Bottom