Search results

  1. zema21

    Rafiki wa kike anahitajika

    Natafuta rafiki wa kike popote pale. Asizidi miaka 28. Mkristo mwenye hofu ya MUNGU. Awe aghalau na diploma au zaidi. Awe mwembamba, asiwe mfupi. Mbunifu na mwenye mtizamo chanya wa kimaisha. Umri wangu ni miaka 30. Ni mkristo. Ni mrefu rangi yangu maji ya kunde. Ni pm mengine tutafahamiana...
  2. zema21

    Ni umbali gani unatakiwa kuacha kama hifadhi zinapopita nguzo za umeme mkondo mkubwa!?

    Kama kichwa kinavyojieleza, eneo langu lipo mita 22.5 toka ulipo mkondo mkubwa wa umeme, limepimwa na halmashauri hivyo nalipia kodi kila mwaka. Nina mpango wa kuendeleza kiwanja changu lakini nimepata hofu kisije nitokea kinachowatokea waliopo pembezoni mwa Morogoro Road!! Je umbali huu wa...
  3. zema21

    Wadada punguzeni tamaa

    Kuna binti mmoja nilikuwa na mahusiano naye, nilimpenda kwa dhati lakn baadaye akakata mawasiliano ghafla, nikakaa kimyaaa pia baada ya mwaka na miezi kadhaa nikamtafuta akaniambia ye ni mzazi analea. Nikawa mpole nikatulia. Ikapita miezi kumi akanitafuta akiwa mpolee mno na mnyonge...
  4. zema21

    Ushauri, napoteza upendo

    Heshima zenu wakuu, Naombeni mnishauri. Nimepoteza kabisa hisia za kimapenzi, sijisikii kabisa kupenda ninaweza nikaingia katika mahusiano haitachukua muda upendo utapotea ghafla nitajikuta namchukia yule msichana niliye naye, ni miaka miwili sasa nina hilo tatizo, nifanyeje niondokane na...
  5. zema21

    Thread nyingi hapa ni za kufikirika na hazina uhalisia

    Mara nyingi sana nimekuwa nikitembelea jukwaa hili. Ninachokuja kukiona ni kuwa thread nyingi ni za kufikirika na hazina uhalisia. Mimi binafsi nataka nijiingize katika kilimo lakini nashindwa kufanya feasibility study vizuri kwani sijafanikiwa kuwapata wanaofanya kilimo cha kisasa chenye...
  6. zema21

    Ni mwaka wa pili sasa nashindwa kusonga mbele

    Imepita miaka miwili tangu nilipoachana na mpenzi wangu, kiukweli huyu mdada nilimpenda kwa moyo wangu wa dhati, sikuwahi kumsaliti nilimwona kila kitu kwangu, kulingana na hali niliyokuwa nayo sikuweza kutangaza ndoa ila nilimwahidi maisha yakikaa sawa ndio jambo litakalofuata, nyumbani...
  7. zema21

    Mbona mabasi yaendayo kasi hayapo njiani?

    Nimefunga safari toka Moro leo asubuhi kuja DSM ili nishangae mabasi yaendayo kasi. Cha kusikitisha sijabahatika kuyaona! na ni hivi majuzi mradi ulizinduliwa! Kulikoni mabasi hayo hayapo njiani tena?.
  8. zema21

    Wanawake hivi huwa mnataka nini haswa kutoka kwa wapenzi wenu?

    Ni muda sasa huwa siwaelewi wanawake mnataka nn haswa kutoka kwa wapenzi wenu unakuta mwanaume umetulia na hauna michepuko unampenda mpenzi wako kwa moyo wote. Unajitahidi kumfanyia kila uwezacho mwanamke kila anachohitaji unamtimizia as long kipo chini ya uweza wako. Mkiwa kitandani...
  9. zema21

    Mpenzi wake amemzidi kielimu, kipato hadi kimaisha, Je watawezana kama wakioana?

    Wanajamvi naomba mnisaidie hili nimshauri rafiki yangu kwani yupo njia panda. Rafiki yangu ana elimu yake ni diploma, ni mwajiriwa wa serikali, ana girlfriend mwenye kiwango cha elimu cha digrii, pia kimaisha huyo mpenzi wake yupo vizuri economically kulinganisha na jamaa. Yaani kwa ufupi...
  10. zema21

    Kutoka Magazetini: Majambazi yakamatwa

    kuna habari nimeisikia kwa ufupi kutoka magazetini kuwa mtandao wa watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi waliohusika na uhalifu wa pale stakishari wamekamatwa na pia shehena ya silaha kukamatwa katika nyumba ya ibada.. niombe aliye na taarifa kamili aiweke hapa.. .......................... update...
  11. zema21

    Baada ya kutendwa, uliweza kupenda tena kwa kiwango cha juu zaidi ya kile cha awali?

    Mara nyingi na kwa walio wengi (sio watu wote) mapenzi ya kwanza (1st love) huwa yanawaacha na maumivu makali sana ambapo wapo wanaodiriki kunywa sumu ili wafe pindi inapotokea wameachana/wameachwa na wapenzi wao! kuna kamsemo kuwa 1st love never die. je kuna ukweli wowote juu ya hili...
  12. zema21

    Bei ya mashine ya popcorn (bisi)

    Kwa yeyote mwenye ujuzi wa bei ya mashine. Naomba anijuze Tafadhali
  13. zema21

    Sababu zinazotupa maumivu baada ya kutendwa

    Wengi wetu wameshakumbana na maumivu makali na wana madonda nafsini mwao pamoja na majeraha yaliyosabishwa na mapenzi. Haya yote hutokea baada ya wewe kutendwa. Umeshawahi kujiuliza kwanini hutokea hayo? 1.Kuruhusu akili/ubongo wako utawaliwe na Huyo mpenzi wako. Sikatai najua kuna kupenda na...
  14. zema21

    Ulikabiliana vipi na maumivu ya kusalitiwa?

    Mapenzi huwa ni matamu na yananoga sana iwapo utampata akupendaye nawe ukampenda kwa dhati. Ila mapenzi hugeuka na kuwa shubiri mara upande mmoja wa mapenzi unapofanya usaliti. Ni wengi wamepitia vipindi vigumu, wapo ambao wamejiua na wapo waliofanya jaribio la kujiua. Hakuna kitu kinachouma...
  15. zema21

    Masikini nchi yangu Tanzania

    Tunapoelekea katika uchaguzi mkuu watanzania wenzangu ni bora tukakumbushana haya. Inaniuma sana kwani kipindi cha hapo nyuma tuliwaamini sana wasomi tukajua ni watu makini na wana uwezo wa kutumia elimu yao kutuvusha kutoka hatua moja kwenda nyingine ya juu zaidi lakini haijawa hivyo...
  16. zema21

    Natafuta rafiki wa kike

    Kwa aliye serious, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.Ni kijana wa kikristo mwenye hofu ya Mungu.Elimu yangu ni shahada ya awali. Ni muajiriwa. Natafuta rafiki wa kike popote napendezwa zaidi kama atakuwa mweupe au maji ya kunde pia mrefu, mwembamba. Kama upo interested ni-pm
  17. zema21

    Natafuta mchumba

    Nina miaka 28, jinsia yangu ni mwanaume, elimu yangu degree, ni muajiriwa.... natafuta mchumba popote, napendelea zaidi mweupe, asiwe kibonge , mcha Mungu, aliyetayari ani pm
  18. zema21

    Vituko vya CCM

    Hv mtatufanya watanzania kuwa wajinga mpaka lini? Nashangaa mnatudanganya wazi wazi kama mchezo wa kuigiza! katka swala la katiba yenu mnayoitengeneza tamkeni hadharani ni katiba ya CCM na si katiba ya JMT. Warioba alienda kwa wananchi akaleta maoni. nyie mkayapuuzia, wananchi wakalalamika...
  19. zema21

    Kwanini hapa Tanzania maandamano ya wapinzani huwa siku zote sio halali?

    naomba Ku declare mimi sio mwanasiasa wala sio mwanachama wa chama chochote! swali langu la msingi ambalo nahitaji ufafanuzi wa kisheria ni kwamba kwanini maandamano yote ya wapinzani yanaitwa maandamano haramu!? Je hakuna namna yeyote ambayo sheria inaweza kuliweka sawa jambo hili, ili...
  20. zema21

    Masikini Nchi yangu Tanzania

    Viongozi wengi wamekosa uzalendo na uadilifu kwa nchi yao. Viongozi wanadiriki hata kuuza nchi yetu kwa wageni lakini pia wanajilimbikizia mali kama vile hawatakufa wataishi milele. Angalia sasa hivi nchi yetu hii inapoelekea. Tupo katika sehemu ngumu mno na tunaelekea kusikujulikana. Hali ya...
Back
Top Bottom