zema21
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 619
- 251
Mara nyingi sana nimekuwa nikitembelea jukwaa hili. Ninachokuja kukiona ni kuwa thread nyingi ni za kufikirika na hazina uhalisia.
Mimi binafsi nataka nijiingize katika kilimo lakini nashindwa kufanya feasibility study vizuri kwani sijafanikiwa kuwapata wanaofanya kilimo cha kisasa chenye mafanikio ambayo yamekuwa yakiandikwa hapa. Kuna watu baadhi nimejaribu kuwa-pm lakn huwa pm hazijibiwi. Kuna mmoja alijitambulisha ana group la whatsApp linalohusiana na kilimo nilimwomba aniunge lakini akanikatalia kwa kusema nianze kilimo kwanza then ndio ataniunga.
Kutokana na hayo nadhani kuwa mengi yanayoandikwa hapa ni ya kufikirika na sio halisi....