zema21
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 619
- 257
Kwa aliye serious,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28.Ni kijana wa kikristo mwenye hofu ya Mungu.Elimu yangu ni shahada ya awali. Ni muajiriwa. Natafuta rafiki wa kike popote napendezwa zaidi kama atakuwa mweupe au maji ya kunde pia mrefu, mwembamba.
Kama upo interested ni-pm