Kutoka Magazetini: Majambazi yakamatwa

zema21

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
619
251
kuna habari nimeisikia kwa ufupi kutoka magazetini kuwa mtandao wa watu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi waliohusika na uhalifu wa pale stakishari wamekamatwa na pia shehena ya silaha kukamatwa katika nyumba ya ibada..
niombe aliye na taarifa kamili aiweke hapa..
..........................

update
kuna taarifa zinazozidi kuenea kwenye magroup ya whatsApp zikimuonyesha mwanadada mmoja ambaye anahusika na tukio hilo pia kuna video kuna sauti inasikika mwanadada huyo akisisitiza mtu apigwe risasi ya kichwa.. pia taarifa hizo zinasema kilichosaidia wakakamwata ni baada ya simu ya yule jambazi aliyeuwawa kwa risasi kuokotwa hivyo wakafuatilia mawasiliano yake..
 
Mkuu fanya mpango ununue hilo Gazeti basi au tutajie jina la Gazeti tufuatilie!
 
Hivi hili neno "nyumba ya ibada " maana yake nini?? Kwa nini isisemwe waziwazi zimepatikana kanisani au msikitini?
Kwani haijulikani hiyo nyumba ya ibada inatumika na dhehebu gani??
Je, ni nini kinachofichwa hapa??
Je, inavyofichwa hivi si ndio kulea matatizo??
Ni kawaida ya mtu mwongo ku generize vitu, angalia hata ahadi za JK ambazi hazikutekelezeka hadi ss zipo general tu!
 
The state deployment of ten well-trained commandos from their parking to participate into the search for the "bandits" may have significantly aided the capture.
 
The state deployment of ten well-trained commandos from their parking to participate into the search for the "bandits" may have significantly aided the capture.

Realy??? Yaani police hawawezi hadi aid ya ten well trained commandos???
Can you say more please?
 
Realy??? Yaani police hawawezi hadi aid ya ten well trained commandos???
Can you say more please?

Note that It's only the variety that can destroy the other varieties. Not all crimes are at the level of the knowledge, skills and experience owned by our police force.
 
The state deployment of ten well-trained commandos from their parking to participate into the search for the "bandits" may have significantly aided the capture.

And they were note only ten,but the full troop,plus police special unit from HQ .
 
hivi wale wa morogoro wamepelekwa mahakama gani?.

Unajua kwamba wanamme wana jembe na mfuko wa mbegu pale miguu yao inapokutana ? Basi yale majembe na ile mifuko ya mbegu ya wale jamaa wa Morogoro ndio tunashughulika nayo kwanza watueleze kila kitu ndio labda tutafikiria kuwapeleka mahakamani. Nia yetu sio mbaya ila tunataka kuondoa mizizi yoote ya ugaidi nchini ili nchi itawalike na wewe uishi kwa amani. Sawa Dogo ???
 
Back
Top Bottom