Search results

  1. Nguruka

    Hivi wapiga kura wapya wataandikishwa lini?

    Nadhani bado wapo ndani muda kisheria na kama inavyofahamika Uchaguzi ni mchakato. Vuta subira wakati ukifika tutaambiwa.
  2. Nguruka

    LHRC: Sheria Mpya za Uchaguzi zimeacha maoni ya Wadau kuhusu maamuzi ya Tume ya Uchaguzi kuhojiwa Mahakamani

    Unasema Tume huru halafu maamuzi ya huo uhuru unataka ukauhoji Tena mahakamani. Inakua sio huru Tena.
  3. Nguruka

    Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC

    TBL au SPOTI PESA WALIKUA VIONGOZI WA TIMU GANI WAKATI HUO NA NANI ALIKUA KWENYE JOPO LA MAAMUZI.
  4. Nguruka

    Lissu: Hakuna Katiba Mpya, hakuna uchaguzi

    Ataweza kukaa kimya milele.
  5. Nguruka

    CHADEMA tunataka kuona msimamo wenu kwa vitendo kuhusu kutoshiriki uchaguzi

    Uwe unawakumbusha mara kwa mara maana hawakawii kusahau. Halafu ajenda zao ni kama kujisikia kwenda haja maana huja anytime. Lakini vyema ukawakumbusha ni Katiba hii hii ya sasa wasiyoitaka ya mwaka 1977 ndio inawaruhusu kufanya siasa nchini Tanzania.
  6. Nguruka

    Ukweli kuhusu uchaguzi wa mwaka 2020 Jinsi Hayati Magufuli alivyouvuruga

    Umeandika maoni yako halafu unatulazimisha kuamini kua eti ndio ukweli. Umebumba hizo taarifa. Lamsingi Wapinzani tuhamasishe wananchi kujitokeza kupiga kura na kuwachagua kama mnafaa na sio kuwahimiza wananchi kujiandaa na vurugu ambazo zikianza mnapandanndege kwenda nje kula Bata.
  7. Nguruka

    Ni kauli gani ya vyama/wagombea ilikupa hofu wakati wa kampeni za uchaguzi?

    Mara nyingi wakati wa Kampeni za uchaguzi, kumekua na kauli mbalimbali zinazotolewa na vyama vya Siasa au wagombea ambazo zinachagia hofu kwa wapiga kura kujitokeza kupiga kura wakati wa Uchaguzi. Mfano wa kauli za vitisho ni "Jino kwa Jino" "Moto utawaka siku ya Uchaguzi" Je, wewe mdau...
  8. Nguruka

    UCHAGUZI 2025: Nitapiga Kura na Kuilinda

    Mimi nadhani lamsingi saana uhamasishe watu kwanza wajitokeze kupiga kura halafu hayo mengine yaachie mawakala wetu ambao wameaminiwa na vyama vyetu vya siasa. Vinginevyo tutatafuta lawama na walinzi wa amani tu. Hakikisha unakadi ya Mpiga kura, na unajitokeza kupiga kura.
  9. Nguruka

    Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Hivi tumeshaanza kuingiwa na Ubaguzi kiasi hiki. Huu Utanganyika na Uzanzibari umetokea wapi? Yatupasa kuwa makini na kauli kama hizi.
  10. Nguruka

    Kesi mbalimbali za kampuni ya DP World inayotaka kuendesha bandari ya Dar es Salaam

    Kumbe ni wao wanashitaki. Mimi nilidhani ni Nchi husika zinashitaki na kutaka fidia. Hapo cha msingi ni kuhakikisha mikataba inakua vizuri na isiwe ya muda mrefu na kuhakikisha inazingatiwa kwa umakini. na wakifanikiwa tunawapa vyoo vya Halamashauri zote nchini wasimamie.
  11. Nguruka

    Ni wakati wa kutoa ultimatum kwa watawala, bila Katiba Mpya ya wananchi hakuna uchaguzi

    Mama ameruhusu mchakato uendelee lakini naona kama hatutaki. Lakini mwisho wa yote tukianzia ngazi ya familia ni nani mwenye sauti ya mwisho ndani kwako, je ni mtoto, beki tatu, Mama au Baba?
  12. Nguruka

    Tundu Lissu adai Rais Samia ana mpango kama wa Hayati Magufuli kwenye Uchaguzi wa 2025 wa kuiba kura, Mbowe amwangalia kwa mshangao!

    Kwani Tundu Lissu huko Ubeligiji alikua anasomea upigaji ramli? Na kama ndivyo yatupasa kua makini hizi ni Ramli Chonganishi anazofanya na ndio maana Mbowe amemshangaa. Watanzania tusikubali kuchonganishwa na wapiga Ramli (Lamba Lamba).
  13. Nguruka

    TANZIA Bernard Kamilius Membe afariki dunia

    R.I.P B.C Membe
  14. Nguruka

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yateua watatu viti maalum vya udiwani

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imefanya uteuzi wa Madiwani watatu (3) Wanawake wa viti maalum kuziba nafasi zilizoachwa wazi katika Halmashauri tatu za Tanzania bara. Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa kifungu cha 86A (1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 kikisomwa...
  15. Nguruka

    Wananchi tunataka Katiba Mpya na Tume Huru ya uchaguzi sio kubadili watendaji kwani ni wale wale

    Kwani Katiba inayopendekezwa inasemaje kuhusu watemdaji w Tume.
Back
Top Bottom