WATANZANIA hatuko tayari kupaza sauti kuwatetea wachache mnaopigania kuiharibu NGORONGORO kwa faida na ubinafsi wenu bila kuyatizama maslahi mapana ya TANZANIA leo na kesho
Na badala yake tutawashaurini kuondoka ili maisha yaendelee kwanini mnatetea kuishi porini ambapo kuwepo kwenu...
kinachoendelea Ngorongoro ni vita vya kiuchumi hivyo Watanzania tunapaswa kufungua macho kwa sababu siamini kama serikali itaonea ama itapenda kuumiza raia wake bila sababu ya msingi.
Kwa maana kuna taarifa kwamba serikali iliandaa eneo huko Handeni kwa ajili ya kuwahamishia huko Wamasai kutoka...
Achana na
Kumwongelea Gambo,achana na majungu ishu hapa siyo Gambo ishu hapa ni pesa ya wananchi imetafunwa na viongozi na jaribu kidogo kuondoa chuki zako binafsi kwa gambo jikite kwenye tatizo.
Sioni kama kunayo sababu ama maana kuwatetea ikiwa wewe siyo mmojawapo mfaidika na pesa za umma ambazo watu walioaminiwa na kupewa dhamana ya kuwatumikia wananchi wameamua kujigawia wenyewe na kupeana kwenye akaunti zao binafsi.
Wewe mwenyewe mtoa mada jionee haya kwa kuwatetea wahalifu...
Kazi ya mbwa mara ni mlinzi ukiachilia mbali kwa wale wachache wanaomtambua mbwa kama kitoweo hivyo basi Ukiwa na mbwa ambaye anabweka tu na hana uwezo wa kung’ata hata inapokuwa ni umeingiliwa basi itakubidi wewe mwenyewe mwenye kumfuga uwe macho na uwe tayari na silaha ili atakapobweka uchukue...
Ukitetea uovu unajiweka kwenye nafasi gani wewe mwenyewe?
naamini kwamba kwa anayetetea uovu anayo sababu yake binafsi ikiwemo kwamba ni pamoja na kwamba alikuwa anafaidika yeye mwenyewe binafsi kupitia uovu ambao anajaribu kuutetea
Kwa mtu mwenye imani ya kimungu huwezi mtetea mouvu...
Nimeona kitu kinachofanyika ama sijui ni tanesco ama ni jiji ila kwa namna nilivyoona ni uharibifu
ni kweli inawezekana kwamba miti hii inazuia ama inaleta madhara kwenye nyaya na njia za umeme na hivyo inapaswa kukatwa ili kupisha nyaya za umeme Hili siwezi kupingana nalo ila ambacho mimi...
mleta mada umekuja na
Mada yenye kuhitaji ufumbuzi,
hili kwa kweli limekuwa ni kero na sina uhakika kama ni mamlaka ipi yenye kusimamia hili kwa sababu kwenye makazi ya watu ndipo pia kunayo makanisa,baa na grocery na hata wakati mwinhine unaweza kuta kunayo hata maduka yenye kuuza albam za...
Kila zama na kitabu chake,sisi tupate kumshukuru Rais SSH kwa kutambua kwamba yeye ni mama wa wote na ndiyo maana ameenda kwa watoto wake wanaoishi kilimanjaro
Haya maneno mengine yanayoandikwa ambayo yaikashifu ziara ya rais ni maneno yanayopaswa kupuuzwa na pia inatakiwa ieleweke kwamba...
Inawezekana kabisa ila wenye akili tunakuona hata bila ya kuambiwa wewe ndiye mmojawapo kati ya wale wanaofaidika na wanaolalamikiwa na huyu unayemtaja kama mchaga….vinginevyo sioni sababu ya wewe kukerwa na malalamiko ga huyu bwana hadi kufikia hatua ya kumkejeli kwa ubia wake
na badala yake...
Kwani wamelazimishwa kulipa kodi? Halmashauri ya jiji ni mwenye nyumba kwa maana ya kwamba yeye ndiye anayechukua kodi anayoona kwamba itamlipa am kumrudishia gharama za uwekezaji aliouweka katika kuyajenga maduka hayo na kupande mwingine wafanyabiadhara ni mpangaji ambaye anapaswa kumlipa...
Wewe shida yako ni ipi ktk utendaji wa derikali kufanya majukumu yake?
Wewe uliyeandika makala hii ndiye mchinganishi,mkabila na unayo maslahi binafsi kwa huyo Dotto
hapa unatuonesha na kutudhihirishia kwamba huyo Dotto ni mtu wa magufuli na kumbe basi anafahamu kwamba ni maslahi yapi binafsi...
Suala hapa siyo kwamba watu wamesoma na wanazo shahada za vyuo vikuu kwa sababu shahada walizopewa siyo kwa ajili ya kwenda kuweka kibanda barabarani mbele ya mlango wa duka la mtu ambaye alifuata sheria ya nchi na sheria ya mipango mji kwa kufanya taratibu zote za kisheria ktk kufanya biashara...
Akiishakuwa Rais wala siye anayepanga swala la ulinzi wake ndo maana kunazo wizara na vitengo mbalimbali serikalini
Kwa hivyo anapokuwa na ziara kitengo cha ulinzi ndicho huwa kinajipanga ikiwa ni ulinzi wa namna gani unaohitajika kufanyika huko aendako ziarani na hii huwa wao wenyewe ndo huwa...
Mimi sioni kama rais kenyatta kukutana na rais Biden ni jambo la kuimiza vichwa vya watanzania ama kufikia mahali pa kujipima na kujiwekee alama ya kwamba sisi tuko chini sana ama tusiotambulika vingine tuwe tumekosa kabisa mambo ya kimsingi ya sisi kujilinganisha na
Kenya
Nasema hivyo kwa...
hapa spika hajatendea haki kiti na muda ambao ungetumika kujadili mambo yenye maana kidogo hapa anajishushia heshima na maana ya kuwa spika
kwa sababu hata tungesema na kukubaliana kwamba wanasheria wasijiite wasomi sidhani kama dhana hiyo itakuwa ndiyo majibu ya matatizo na shida za wananchi...
Najiuliza je ni kweli kwamba mwwchama wa ccm ambaye atachaguliwa ama kuteuliwa nafasi ya uongozi wa juu wa chama cha mapinduzi hafanyi kiapo cha utii kwa viongozi wao wakuu na hata kwa chama kabla ya kukabidhiwa wadhifa husika? na kama ndiyo je hawa wanaopingana na viongozi wao kwa habari ya...
🤝Ni kweli ni vimaudhi vidogo vidogo na ndiyo maana nikaeleza kwamba ikiwa zitatokea changamoto maana hadi tunapoongea haijajitokeza changamoto yeyote yenye kusababishwa na chanjo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.