Angalia Katuni hii halafu toa maoni yako

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,114
219,226
Hivi ndivyo wachora katuni wanavyoiona Tanzania .

FB_IMG_1650557953401.jpg
 
Ni kweli haumi maana kazi yake sio kuuma.
Anayetakiwa kutumia meno ni mwenye mbwa.
Sasa kama amefundishwa kubweka tu, wezi na majambazi hawana makosa hata wakivunja na kumuiba na mwenye nyumba mwenyewe kabisa.
... kabisa; amesham-alert mwenye naye kuna majizi yamevunja mlango yanaiba; ni kazi kwake sasa kutoka na bastola kuyaulia mbali majizi. Dog keshamaliza kazi yake; kazi kwake mwenye nyumba.
 
Hivi ndivyo wachora katuni wanavyoiona Tanzania .

View attachment 2195633
Kazi ya mbwa mara ni mlinzi ukiachilia mbali kwa wale wachache wanaomtambua mbwa kama kitoweo hivyo basi Ukiwa na mbwa ambaye anabweka tu na hana uwezo wa kung’ata hata inapokuwa ni umeingiliwa basi itakubidi wewe mwenyewe mwenye kumfuga uwe macho na uwe tayari na silaha ili atakapobweka uchukue hatua ya kupambana wewe mwenye mbwa

ama kama sivyo basi inakubidi umfundishe kung’ata na akiwa hafundishiki kwa sababu ya uzee basi itabidi umtelekeze utafute mwingine mwenye uwezo wa kung’ta inapotokea hatari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom