Search results

  1. Mtanzanika

    Coil za Engine ya Altezza 3Sge (G 4 Automatic) kutofautiana

    Wakuu, Nimekutana na changamoto hii kwa mara ya kwanza. Coil za engine tajwa hapo juu zimetolewa katika engine kama hiyo tuite Engine A zikawekwa katka engine nyingine kama hiyo tuite Engine B. Chakushangaza katika Engine B hazifiti, yaani fupi kiasi kwa hyo hazichomi vizuri, wakati zimetolewa...
  2. Mtanzanika

    Suti

    Hivi hawa jamaa walishindwa kabisa kumtafutia suti size yake huyu dogo.
  3. Mtanzanika

    Picha ya Masoud Kipanya inasema nini?

    Mwananchi gazeti 23.01.2017
  4. Mtanzanika

    KIKOSI CHA ZIMA MOTO NA UOKOAJI

    Nimeshangazwa kuona kuwa hadi leo hii kikosi chetu kinatumia zana ya SHOKA kukata mti. Inabidi wajipange vizuri.
  5. Mtanzanika

    Sir Nature amtupia lawama TID juu ya KR

    Nakumbuka EATV waliwahi kumhoji Nature juu ya KR kuhamia UNYAMANI ...Nature alimsihi KR aangalie namna ya kukwepa kuingia kwenye mkumbo. Japo Nature alikua yuko tungi lakini alitoa tahadhari ya busara kwa best yake. Leo..amepost hiyo picha huko Insta.
  6. Mtanzanika

    SHAMBA LA EKARI 16 LINAUZWA

    Lipo Kimazichana (mbele ya Mkuranga), Km 1 kutoka main road. Lina miembe kadhaa na jengo la vyumba vitatu ambalo halijakamilika. Bei milioni 40 tu..maongezi yanakaribishwa. ☎ 0628403078
  7. Mtanzanika

    Maumivu ya mapenzi na msiba, yapi makali zaidi?

    Mtu anapopatwa na maumivu ya mapenzi ama msiba ni kipi hasa humuuma kati ya roho na moyo?Maana utamsikia mtu akisema roho inaniuma sana au moyo unaniuma sana. Mimi nikijaribu kuyafikiria maumivu ya namna hiyo nashindwa kupata jibu sahihi kama kile kiumacho ni kipi kati ya hivyo viwili. Thread...
  8. Mtanzanika

    How liars are born

    wagombea wetu ndo hutupiga fix za namna hii.
  9. Mtanzanika

    Askofu Charles Gadi atoa tahadhari kwa kampuni ya Dorsal Group

    Gazeti: Mwananchi 22 Juni 2015 (uk,5)
  10. Mtanzanika

    Hiawei p6 inauzwa

    HUAWEI P6 INAUZWA 485,000/- . Imetumika mwezi mmoja. Piga 0684616415
  11. Mtanzanika

    Joseline wa Perfume amerudi

    Nilibahatika kuusikia wimbo wa Joseline redioni jana. Japo ulikua unaishia ishia. Bila shaka ni wimbo mpya. Jamaa hakika anajua na amerudi kikweli kweli, ni bonge la pini la RnB. Bahati mbaya sijajua huo wimbo unaitwaje na wala sijaweza kuupata kwenye mtandao. Mwenye wimbo mpya wa Joseline...
  12. Mtanzanika

    "michapio bubu"

    Nilikutana na uzi unaohusu michapio, katika kupitia nikagundua michapio yote ni ya kimatamshi, nikakumbuka kuna michapio mingine ni ya kivitendo. Labda niiite michapio bubu. Kwa mfano:- 1. Mezani kwako una Desktop na Laptop. Kuna files unataka uzitoe kwenye desktop uzilete kwenye Laptop au...
  13. Mtanzanika

    Kipi kina mushkil?

    Niliikuta hii sticker kwenye ubavu wa gari lililokuwa limeegeshwa maeneo. Je kuna kilichozidi au kupungua?
  14. Mtanzanika

    When I was a boy

  15. Mtanzanika

    Voda au tiG0?

    Kwa mfano una line mbili mpya za simu, moja ya voda na nyingine ya tigo. Ukanunua vocha ya sh.2000 ya voda, ulipoiweka tu ikaliwa. Ukanunua na vocha ya sh.500 ya tigo...ulipoieweka tu nayo ikaliwa. Je! kipi afadhali hapo kati ya kuliwa voda au kuliwa tigo?
  16. Mtanzanika

    PSPF TOWERS Vs TPA's

    Kila nipitapo mtaa huu, nashindana na macho yangu juu ya majengo haya..hili la bandari na haya ya pspf...lipi hasa ni refu? japo pspf towers ni tallest in E.Africa.
  17. Mtanzanika

    Inspector Haroun aka Babu afanya kazi za ulinzi

    Katika pitapita za mitaani nimepata kusikia haya ya kisemwa kwamba Babu - Mkali wa Rap Katuni amekuwa akijishughulisha na kulinda katika sehemu za kuegesha ama kulaza magari usiku huko Temeke. Mwenye kujua ukweli wa hili ama tofauti na hili basi anitoe kizani tafadhali.
  18. Mtanzanika

    Msaada kitabu cha riwaya ya asali chungu

    Naomba mnisaidie niweze kukipata Kitabu hiki cha riwaya ya Kiswahili kiitwacho ASALI CHUNGU kilichoandikwa na Prof. Said A. Mohamed. Niliwahi kuwa nacho lakini nilimwazima mtu na hakunirudishia tangu mwaka 2001. Nimejitahidi kutafuta huko madukani bila mafanikio.
  19. Mtanzanika

    0bama anakuja

    Jenga picha wewe ndo Raisi wa Syria halafu Obama ndo kasema anakuja kukupiga! Hivi unajiandaa na nini..!?
  20. Mtanzanika

    The best of TBC

Back
Top Bottom