Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Hivi hawa jamaa walishindwa kabisa kumtafutia suti size yake huyu dogo.
Anaitwa Kagiso Kuyper.alicheza filamu maarufu ya Leonardo di Caprio *blood diamond* akiwa child soldier.kwani uyo dogo ni nani?