PSPF TOWERS Vs TPA's

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Kila nipitapo mtaa huu, nashindana na macho yangu juu ya majengo haya..hili la bandari na haya ya pspf...lipi hasa ni refu? japo pspf towers ni tallest in E.Africa.

pspf vs tpa.jpg
 
Mijitu mingine bwana!! sas umeshajijibu mwenyewe kwamba japo la PSPF blah blah blah! HALAFU...umekosa mada?? shida zako ushatatua? ama unaenda mjini kushindanisha majengo wakati wenzio wanajenga.
 
ndo kazi yangu mkuu!!jengo lako likowapi nije kulipiga picha?
 
Mijitu mingine bwana!! sas umeshajijibu mwenyewe kwamba japo la PSPF blah blah blah! HALAFU...umekosa mada?? shida zako ushatatua? ama unaenda mjini kushindanisha majengo wakati wenzio wanajenga.

Jamani ijumaa hii, msitoane macho humu mkahariabiana weekend zenu bure.
 
Kila nipitapo mtaa huu, nashindana na macho yangu juu ya majengo haya..hili la bandari na haya ya pspf...lipi hasa ni refu? japo pspf towers ni tallest in E.Africa.

Ndio maana serikali iliamua kuweka Div V...la sivyo !!!

Halafu next time walau utumie simu ya Samsung kufotoa picha, hicho kiTECNO ulichonacho kinatoa picha quality mbaya...

Usiniulize nimejuaje!!!
 
labda sikuweka vizuri post yangu, nakubali.
Samsung ghali sana, tecno nilimudu kununua.
next time nitafotoa picha kwa tecno pia....
 
Back
Top Bottom