Askofu Charles Gadi atoa tahadhari kwa kampuni ya Dorsal Group

Mtanzanika

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2012
Posts
2,389
Reaction score
1,131
ASKOFU CG.jpg

Gazeti: Mwananchi 22 Juni 2015 (uk,5)
 
Hapo sasa tuone nani zidi Mungu wa Israel au Mungu wa Buddha nawaomba sana tuangalie kwa makini mtifuano huu na Jumatano tuletewe majibu hapahapa JF ili watu wajue nani KIDUME.
 
Duh. Mbombo ngafu. Ana imani na Mungu wake balaa. Ila sijaona neno Yesu, au kwa kuwa anatumia zile adhabu zilizopo agano la kale?!!!
 
Hata Noah alipowapa watu tahadhari hawakumwamini.

Kuna kina Kora na mwenzake ambao hat Musa hawakuamini ujumbe alioubeba pamoja na kuona kwao.

Wapo Musa na Manabii. Wasipowasikiliza wao, hata mtu angetoka kuzimu hawatamsikia pia.

Tumejengwa juu ya Manabii na mitume.

Watumishi wa Mungu walikuwa wa zamani ya Musa!
 
Hata Noah alipowapa watu tahadhari hawakumwamini.

Kuna kina Kora na mwenzake ambao hat Musa hawakuamini ujumbe alioubeba pamoja na kuona kwao.

Wapo Musa na Manabii. Wasipowasikiliza wao, hata mtu angetoka kuzimu hawatamsikia pia.

Tumejengwa juu ya Manabii na mitume.

Nasubiri mrejesho baada ya dead line!
 
Hapo aliposema SIHITAJI HATA MSAADA WA MUNGU KUWASHUGHULIKIA mimi ndo pamenipa shida kidogo.
Ngoja tuone titimundi lake.
 
Hapo aliposema SIHITAJI HATA MSAADA WA MUNGU KUWASHUGHULIKIA mimi ndo pamenipa shida kidogo.
.

Kakufuru huyo.binadamu bila Msaada wa Mwenyezi Mungu hawezi fanikiwa lolote!!! Mkwara koko tu huo.Wahindi wanategemea na kupata msaada wa miungu yao sasa yeye kama hahitaji msaada wa Mungu yeyote basi analo.Hilo shamba hapati wala nini.

Anatishia nyau wakati hana mungu wa kumsaidia!!! Askofu asiyehitaji msaada wa Mungu!!!!! Huyo askofu wa ajabu sijapata kuona.Wagalatia mna maaskofu wasiohitaji msaada wa mungu!!! kujiita Askofu ni utapeli wa hali ya juu.Askofu huitwa askofu sababu ni mhitaji msaada wa Mungu.
 
Wakuu msaada huyu asikofu cimjui anaemfaham anisaidie kumjua, alipo, huduma zake, na huo ugomvi wa hilo eneo upo wapi??
 
Mkuu, "Askofu" huyu, ni tapeli tu wa kawaida! Miaka kadha iliyopita, aliwahi kuiombea Taifa Stars hadharani, kwa mbwembwe nyingi mbele ya waandishi wa habari wa magazeti na TV, kisha akatangaza kwamba tangu wakati huo Taifa Stars itafanya maajabu mpaka itafikia kushiriki katika fainali za Kombe la Dunia. Matokeo yake, tangu wakati huo Taifa Stars imekuwa kama imelogwa zaidi, hadi majuzi imekwenda Misri na kuchapwa 3-0, na pia juzi imechapwa na Uganda 3-0 huko Zanzibar na kuwaudhi Watanzania walioamua kuwazomea!

Vituko vyake vya utapeli ni vingi. Wakati fulani kulikuwa na uhaba wa samaki ferry, na wavuvi wakasema kwamba siyo msimu wake. Tapeli huyu akaita tena waandishi wa habari wa magazeti na TV, na kufanya maombi hadharani, kisha akatangaza kwa mbwembwe kwamba wakati huo huo "mungu" wake atawaleta samaki wengi mpaka karibu kabisa na ufukweni mwa bahari, na kazi ya wavuvi itakuwa ni "kuwaokota" tu! Wavuvi walikwenda kwa matumaini makubwa, lakini kila siku waliambulia patupu, na waandishi walipowahoji walimdhihaki sana mtumishi wa "mungu". Ukame wa samaki uliendelea kwa wiki kadha, mpaka msimu wake ulipowadia tena!!!
 
Mungu wa kweli kupitia Yesu Kristo fanyi kazi namna hii....
 
Dah nimecheka sana aisee askof ni mkali
 
Kwa hilo unamsingizia sana naona unatafuta kick furani.

Back
Top Bottom