Search results

  1. B

    Kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, Canada na USA

    Mkuu, vipi ulifanikiwa kumpata?
  2. B

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Naomba Connection ya kuagiza viatu vya mtumba vya watoto. viwe ni viatu vikali vya ngozi. China naona viatu vyao siyo vizuri
  3. B

    Biashara ya Nguo za Mtumba: Ushauri na Muongozo wa Kuifanya kwa Mafanikio

    Wakuu, ninahitaji mitumba kutoka DUBAI au uingerez ninaweze' kumpata
  4. B

    Jinsi unavyoweza kuagiza mabelo ya mtumba kutoka China na Dubai kwa bei chee na kupata faida mara 2 au 3 zaidi

    Mwenye uzoefu wa kuagiza mtumba toka Dubai au Canada, naomba atushirikishe uzoefu wake
  5. B

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    mambo gani nayakosea?, muda wote uwa nawashirikisha watalaam ambao ni madaktari wa mifugo
  6. B

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    Nadhani hujanielewa. Ninamaanisha kuwa nilitumia AI kwa awamu 3 bila mafanikio.
  7. B

    Ukweli kuhusu kilimo cha machungwa

    kumbe una biashara hii. ndio maana ulikuwa unatoa taarifa za uongo kuhusu idadi ya machungwa ktk mti
  8. B

    Ukweli kuhusu kilimo cha machungwa

    kweli kabisa, katika post hapo chini anapromote miche. Bongo kufanya biashara mpaka mtu adanganye
  9. B

    Kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, Canada na USA

    Wakuu, bado nasubiri maoni yenu
  10. B

    Kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, Canada na USA

    Wakuu, Ninapenda kuagiza mabelo ya mitumba toka UK, CANADA na USA. nimejaribu kusearch bila mafanikio. Kwa mwenye uzoefu, naomba maelekezo au ukashare linki ya site inayo uza.
  11. B

    Kuacha kazi kwa notice ya siku 28

    Iwapo umeandika notisi ya siku 28, Je ndani ya huo mwezi wa notisi unastahili kulipwa mshaara
  12. B

    Kuacha kazi kwa notice ya siku 28

    ukitoa notisi ya siku 28, je unaweza ukapata mafao ya ku katikia kipindi cha notisi ya siku 28, unaweza ukachukua likizo?
  13. B

    Msaada: Lodge nzuri maeneo ya Mwenge

    ziko fresh lakini
  14. B

    Msaada: Lodge nzuri maeneo ya Mwenge

    Mkuu, nielekeze basi ambyo iko poa ya 30K+
  15. B

    Msaada: Lodge nzuri maeneo ya Mwenge

    poa, 30K inawezekana
  16. B

    Msaada: Lodge nzuri maeneo ya Mwenge

    Wakuu, nahitaji lodge nzuri maeneo ya Mwenge na makumbusho, Dar es salaam. Bajeti yangu ni Tsh. 20,000 hadi 25,000.
  17. B

    Mradi wa Ufugaji wa ng'ombe

    kweli kabisa. Mimi katika shamba langu, nilijaribu mara 3 kutumia AI. Lakini sikufanikiwa. Nilichokipata ni kuchelewa kupata ndamana, maana ilinibidi nimtafute dume. Mwishowe, niliamua kuwa na dume
  18. B

    Tiba ya tezi dume bila upasuaji inawezekana?

    Mkuu, toa ushauri ni ipi inayoponyesha
Back
Top Bottom