Search results

  1. Lussadam

    Honda CRV Modification

    Ndugu wana habarini, inawezekana body ya Honda CRV third Generation ( Hiyo Red) kuivisha kwenye Honda CRV First Generation ( RD1)( Hiyo White)? Kwa upande wa dimensions: Height (Kimo) zipo sawa; Length (Urefu) hiyo Red imezidi kwa 9 cm na kwa Width ( Upana) Red imezidi kwa 3cm.
  2. Lussadam

    Azam TV acheni usanii

    Hawa jamaa naona wameanza usanii fulani, Mimi ni mteja wa Azam TV na nimekuwa nikilipia kifurushi cha TZS 23,000. Huwa natizama zaidi Channel moja tu INVESTIGATION DISCOVERY. Sasa hapa juzi bei imeshuka kwenda TZS. 20,000.Nimelipa lakini nimeshindwa kuipata hiyo channel, kabla ya kukitekeleza...
  3. Lussadam

    USUMBUFU VODACOM FOREST AREA MBEYA

    Watumiaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom eneo la Forest tuna shida sana na huduma zenu.Ni kwa miaka kadhaa sasa tunashindwa kutumia huduma zenu tukiwa ndani ya nyumba zetu. Ili uweze kupiga simu au kutumia data inakupasa kutoka nje ili uweze kufanikiwa. Ukiingia ndani tu sahau matumizi...
  4. Lussadam

    Afisa ustawi wa jamii

    Afisa
  5. Lussadam

    Uwoya na Keisha kwenye siasa, kulikoni?

    Habari wadau. Wasanii Irene Uwoya na Keisha katika kumbukumbu zangu walikuwa wanasubiri kuingia bungeni kupitia viti maalumu. Majina yametoka lakini hakuna majina yao! Ni nini kimejili? Au kuna vigezo havijazingatiwa??? Mwenye kujua atujuze
  6. Lussadam

    Heavy cuts for early pensions withdrawal

    The Social Security Regulatory Authority (SSRA) has said that 3.6 percent of potential earnings will be deducted from workers' pensions who opt to withdraw before retirement age. SSRA Director General Irene Isaka said in a statement that workers' pension will be deducted for 0.3 per cent each...
  7. Lussadam

    Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Dar es Salaam. Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17). Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara...
  8. Lussadam

    J.K.Nyerere ITV now

    tazama JKN akihutubia Bunge jipya ka South Africa 1997
  9. Lussadam

    Okwi vs sinta

    Blogu ya Wananchi: SINTAH JLO: OKWI SASA YUPO TUNISIA. SINTAH JLO: OKWI SASA YUPO TUNISIA. EMANUEL OKWI ATUA SALAMA SALMINI TUNISIA Emanuel Okwi amefika salama salmini Tunisia,mimi kama Sintah j wake lopez namtakia kila la kheri katika kazi yake huko. kwa wale wanaofikiri me na yeye ni...
  10. Lussadam

    Sperm donor

    I've fathered 16 children but I'm still a virgin at 36 Trent Arsenault is world's first donorsexual HE is only 36 but Trent Arsenault is already dad to 16 children – despite being a VIRGIN. In fact, the computer wiz has never even kissed a woman. But this hasn't stopped him becoming one...
  11. Lussadam

    Chris eubank

    Revealed: Why Chris Eubank gave away his sons to a virtual stranger He has a look of his pugilist father and packs a mean punch, too. At the Top Rank boxing gym, a few yards off the brightly lit Las Vegas Strip, Chris Eubank junior dances and dives before jabbing his sparring partner under the...
  12. Lussadam

    Soka live bila chenga

    AtdheNet.TV - Watch Free Live Sports TV kong'oli hapo utazame soka live bila chenga. ni internet yako tu ndo itakuangusha otherwise mwendo mdundo. http://www.atdhenet.tv/ http://www.atdhenet.tv/ http://www.atdhenet.tv/
  13. Lussadam

    Airtel 3.75 ~ gprs,edge?

    jamani tangu hawa jamaa watuambie kuwa wanamitambo ya 3.75G mbona muda wote inakuwa edge au gprs? kuna haja gani ya kuendelea kuwatumia wakati inachukua zaidi ya dakika 10 kufungua page moja? nikimaliza hizi 400MB naiweka kabatini sim ya airtel mpaka itapokaa sawa
  14. Lussadam

    Tazama soka (uk premier league,la liga,serie a,bundesliga,champions league etc)

    Vp wazee, bila shaka mpo powa. Kwa wale wapenda soka (na michezo mingine pia na vipindi vingine), kama una internet ya uhakika (kama yangu) unaweza pata soka ( UK Premier League, La Liga, Bundesliga, Serie A,France,Holland ,Champions League etc) kwa kutumia software ya sopcast. Just download...
  15. Lussadam

    Ortiz v Mayweather

    Floyd Mayweather vs. Victor Ortiz: Live Round-by-Round Updates
  16. Lussadam

    Jose Chameleone Returns to Catholic Religion for the Good of His Family!

    Jose Chameleone Returns to Catholic Religion for the Good of His Family National, Exclusive news!!!! 6 days after news broke that Jose Chameleone had converted to Islam, the self proclaimed music heavy weight Dr Jose Chameleone has talked to HiPipo.com and clarified that he has decided to...
  17. Lussadam

    Latest Score and fixture: European and International Soccer etc

    Kwa kupata matokeo mbalimbali latest ya soccer gonga hapa http://scorefight.blogspot.com/2009/12/live-online-soccer-here.html
  18. Lussadam

    Marwa v Matumla

    tunaomba matokeo ya pambano hili mazee, wamepigana leo
  19. Lussadam

    Kaseba V Cheka

    Wazee tunaomba matokeo ya pambano la Kaseba na Cheka linalofanyika leo pindi pambano likimalizika
  20. Lussadam

    Innocent Galinoma Tunes

    Hi wakubwa, ni wapi naweza pata CD za Innocent Galinoma? Nimejaribu kuzitafuta online bila mafanikio. Ningeurahi sana kupata CD za Mfwalingundi hasahasa ile ya awali Kilimanjaro. I look forward to hearing from you.
Back
Top Bottom