J.K.Nyerere ITV now

Boanerge

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
681
250
Nyinyi ndo wale mnaoongozwa na wafu mpaka leo. Hizo hotuba zake zimekuza uchumi wa nchi hii au? Sh.nzy zenu

Mmmmmh! Uwepo wako wakufikiri ndio umeishia kutusi watu. Toa mchango km na mada hujapendezwa nao toa sababu sio kutusi watu sio lazma ukubali mawazo ya mwenzako.
Mpinge kwa hoja.Ishu hotoba inatoa mwongozo kwa watu hata km mtoa hotobu ametangulia hata wewe shuleni umesoma vitabu vya watu ambao wameshakufa kwanini hukuvikataa ukata vya waliohai?
 
Mwikimbi

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
1,759
2,000
imemwona akihutubia , ukweli ilikuwa speech nzuri sana, kiingereza safiii na wala hasomi kama hawa kasuku wa siku izi wanasoma na bado wanakosea
 
jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,937
2,000
It was a keynote speech...Addressing the issue of changes in sub saharan africa and the new south africa.

He was very relaxed and and delivering a very informative speech. While other Africans were viewing South Africa as a rich country I was impressed to hear Nyerere said it clearly that South Africa is still poor though advanced compared to other African countries.
I dont knw if our leaders can give such an impressive speech covering economic, democracy, african unity, neo-colonialism and social development to their countries.

Well packed speech...

jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,937
2,000
tazama JKN akihutubia Bunge jipya ka South Africa 1997

It was a keynote speech...Addressing the issue of changes in sub saharan africa and the new south africa.

He was very relaxed and and delivering a very informative speech. While other Africans were viewing South Africa as a rich country I was impressed to hear Nyerere said it clearly that South Africa is still poor though advanced compared to other African countries.
I dont knw if our leaders can give such an impressive speech covering economic, democracy, african unity, neo-colonialism and social development to their countries.

Well packed speech...
 
jerrytz

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
5,937
2,000
Mmmmmh! Uwepo wako wakufikiri ndio umeishia kutusi watu. Toa mchango km na mada hujapendezwa nao toa sababu sio kutusi watu sio lazma ukubali mawazo ya mwenzako.
Mpinge kwa hoja.Ishu hotoba inatoa mwongozo kwa watu hata km mtoa hotobu ametangulia hata wewe shuleni umesoma vitabu vya watu ambao wameshakufa kwanini hukuvikataa ukata vya waliohai?

Huyo akuangalia hiyo speech so anakupotezea muda tu. Inawezekana huo muda alikuwa anaangalia muziki.....
 
Malcolm X5

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,158
2,000
Great speech ever,niliiangalia jana,aisee nyerere is a respected guy,anaiongelea africa as if ni kiongozi wa africa,anaijua africa nzima,mandela anafurahi tu,love this,anaondoka kwa heshima zote.
 
Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
13,194
2,000
J. K Nyerere hata kama alifanya makosa yake kama binadamu but atabaki kuwa kiongozi wa pekee Tanzania. Angeiba kama waliomrithi kwa miaka 30 na ushee tungekuta kitu kweli?? Rest in Peace my hero.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom