Search results

  1. ludacris86

    VIP account subscription

    Jamani wana forum kwa yeyote anayejua namna ya kulipia VIP ACCOUNT na FOREVER ACCOUNT ili kuweza kuwa Subscribed na Channel za Canal sport naomba msaada..natumia decoder ya Starsat Kuna jamaa nilikuwa namtumia lkn kwa sasa hapatikani kwenye simu kwa hyo nipo nipo tu!!
  2. ludacris86

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sasa hapa umasihara uko wapi?
  3. ludacris86

    Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

    Kaka tu? Mm hd kusalimiwa nilikuwa nasalimiwa na nikamkamata vzr tu.. Sasa baada ya kuwa nae nikamuuluza kwa nn alikuwa ananisalimia akaniambia ilikuwa ni moja ya defence mechanism yake
  4. ludacris86

    Jesca Kitambaa Cheupe aliacha kazi ya Airhostess ili akajiajiri

    Kwa hyo alikuwa analipwa dola 3000 takriban milion 6 plus then akafungua biashara ya vinywaji ambayo haifiki laki 5? Hv ulijifunza kweli LOGIC darasani?
  5. ludacris86

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Magarasa?ni wachezaji haohao msimu uliopita walifika UEFA final plus nafas ya 2 ligi kuu...Wachezaji wamechoka..wamecheza kwa kiwango kikubwa kwa muda mrefu sana..tatzo la mashabk tunajua kulaumu tu
  6. ludacris86

    Kwa wale wapenzi wa soka tu, pitia hapa (inaweza ikakusaidia)

    Kaka nashukuru sana kwa maujanja..nilienda kariakoo nikapata kile kin'gamuzi,kuna fundi mmoja kaja kunifanyia maujanja kwa sasa nakamata channel za dstv Akaunti ya VIP za package ya 120000 nadhan,kwa 15000 tu kwa mwezi ila unalipia miezi 4 Pia channel za azam nazikamata kwenye akaunti ya FOREVER
  7. ludacris86

    Mwanaume hakutakiwa kuteseka kisa mapenzi, kutokujitambua na upumbavu ndio kunawafanya kuwa hivyo

    Wanaume WAPENDENI wake zenu,na Wake WATIINI waume zenu Huu mstari wa bible uliuelewa vzr?
  8. ludacris86

    Natafuta uongo wa kumwambia mke wangu ila nimekwama

    Yani wkt unatuma kwa wakala jina nalo lilikuja la naomi?...ngumu kuamini
  9. ludacris86

    Tofauti Kati ya penzi la mwanamke wa kitajiri na penzi la mwanamke wa kimaskini

    Kuna mpangaj mwenzangu ni malaya balaaa..ana demu wake(kashamuoa sa hv) ni wa kishua balaa..demu kwao wana mawe hatari yan...sasa manzi b4 kuoana alikuwa anaishi arusha,na jamaa tulikuwa nae mbeya Sasa kuna siku manzi wake alikuja bila kumtaarifu ...ghafla manzi huyu hapa...saa 4 usiku...
  10. ludacris86

    Msaada tutani kuhusu "Rythm foundation"

    Wadau naomba niende moja kwa moja kwenye mada Kuna mtoto wa mama yangu mkubwa amenipigia simu kuwa amepata nafasi kwenye kampuni tajwa hapo juu ambayo inahusika na kutoa msaada kwa watoto yatima Africa na Asia kwa hiyo amejichanga amepungukiwa na kiasi kidogo ambacho anaomba...
  11. ludacris86

    Bar na night clubs Arusha mwisho kuwa saa 6 usiku ni uhujumu uchumi

    Huyu atakuwa hajui tofauti ya night clubs na bar...vijiwe kibao vinakesha...jana tu nilikuwa bills hapo nimetoka saa 12 asubuh
  12. ludacris86

    Must see Movies

    Ya kawaida sanaaaaaaa
  13. ludacris86

    Ommy Dimpoz: Hata nikiacha muziki nitaishi bila shida yoyote, siyo chawa wa GSM Wala Joho, baba yangu alinitelekeza

    Wapo pia ambao wanapata malez mazur tu lkn wakishakuwa wanakuwa hawana bond na baba zao..mm nina mifano hai
  14. ludacris86

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tupigwe tu
  15. ludacris86

    Asikwambie mtu, Premio tamu

    Niliimilik hii gari..ni nzuri sanaaaaa..tatizo inaachia sana ma bampa yake
  16. ludacris86

    Mzee anategemea kupokea kiinua mgongo, lakini simwelewi elewi kabisa

    Akili yako inafanya kaz kweli? Ningekuwa mzee wako ni viboko tu
Back
Top Bottom