Asikwambie mtu, Premio tamu

Dah yule jamaa mimi pia namfatilia vyemaa sana, bei zake hata mimi zinanistaajabisha. Honda PCX anaiuza 3.2 - 3.8M mixer usajil na bima na imetembea km kiduchu sana.

Naangaliaga comments ila sioni wateja wanaoleta feedback
Aisee inabidi kumfanyia scrutinization ya Maana,hizo Bei za hizo bikes naona hata ukiwa nje huzipati kwa pesa hizo.

Wasiwasi ndio akili aisee,ngoja tuone na wadau wengine wana-experience gani na huyo msela.
 
Ukiweka gesi gari lazima liwe zito, boot storage lazima ipungue..kwaio gesi ikiisha unabadilisha mtungi?
Ni kweli buti storage inapungua lkn faida ni kubwa unasave hela,haubadilishi mtungi Ila unajaziwa juu Kwa juu
 
Aisee mkuu out of topic,Kuna jamaa anatumia jina la sele _mapikipiki Kule Instagram anasema Yuko zenji,anauza mapikipiki.Nimeona Bei za kawasaki,Ducati etc ni ndogo mpk nimeshtuka.Maana Zanzibar kwa wapigaji unailewa vzr.

Ukipata Muda pita Kule Instagram nawe umcheki uniambie unaonaje mkuu.
Namjua. Kimbia kaka.

Tuliona KTM Duke moja anauza bei ya TVS aisee. Kimbia kaka.

Ukitaka sport/street bike niambie aisee. Kuna wahindi nawajua wanauzaga ila wanazozitumia unawavua lakini achana na uyo jamaa.
 
Aisee shukrani sana sana bro,nilipata sana shaka na bei zake wkt Bei ya nilichokua nakitafuta najua ni kubwa Sana.

Nitakutafuta at the right time bro,🙏🙏
 
Habari wakuu!

Week 3 au 4 nyuma niliwasilisha ombi langu kwa WanaJF kunisaidia aina ya gari ya kuanzia maisha hasa kwa budget ya 10M.

Wengi walinishauri kuanza na IST au Vitz, ila nilipofika showroom mawazo yalibadilika na kuamua kuvunja kibubu kwa 16.5M kwa kuvuta Toyota Premio (2005), yenye Cc 1490.

Kiukweli naejoy sana hiki chuma, comforatbility ya kutosha, muonekano mzuri na isitoshe mafuta ndo hakuna stress. Niliweka mafuta ya 50 kutoka Dar mpaka Moro na bado yakabaki.

Kwa wewe unayetafuta gari ya kuanzia maisha achana na hizo passo sijui vitz vuta premio utakuja nishukuru badae.

Asikwambie mtu, Premio tamu wakuu.
Sedan inakuaje tamu?
 
Vipi Toyota corolla ya mwaka 2005??
 
Back
Top Bottom