Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 787
- 2,065
- Thread starter
- #61
Hayawezekan..labda kama unaishi mtwara au songea ndo inawezekana(kwa maelezo ya fundi)Madishi madogo km ya azam na dstv hayawezekani ?
Hayawezekan..labda kama unaishi mtwara au songea ndo inawezekana(kwa maelezo ya fundi)Madishi madogo km ya azam na dstv hayawezekani ?
InawezekanaMkuu hiki kitu uku Tanga kinawezekana?
Nahitaji sna kujua nivute iyo decoder
San techumetumia LNB ipi mkuu
N wiziHuu sio wizi manake mm ninmkristo mzuri kabisa!
Bro...ulisoma maelezo yangu vzr?kwa ufafanuz njoo inboxBei yake imekaaje na hayo malipo yakoje sheikhe nahitaji sana hii kitu
Dah nikiona wenzangu wanakula vizuri hivi huwa najionaga fala sana, je kuna namna ya kuchakachua kwa kutumia dish na kisimbuzi cha makaburu D**v?Nimehangaika hatimae nimefanikiwaa..kwa heri DSTVView attachment 1870775View attachment 1870776View attachment 1870777View attachment 1870778View attachment 1870779View attachment 1870781View attachment 1870780View attachment 1870782
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Upo wap..?Mwenye kumjua fundi mzuri anisaidie namba nimchek aniunganishie hii kitu...
Niko mapinga pwani mbele kidogo ya bunjuUpo wap..?
Maujanja gani hayo mkuu tuelezee na sisi wengine tukuelewe vizuri umenunua kisimbuzi kipi kaka wengine pia wanahitaji fafanua lakini pia hongera jf kisima cha maarifaKaka nashukuru sana kwa maujanja..nilienda kariakoo nikapata kile kin'gamuzi,kuna fundi mmoja kaja kunifanyia maujanja kwa sasa nakamata channel za dstv Akaunti ya VIP za package ya 120000 nadhan,kwa 15000 tu kwa mwezi ila unalipia miezi 4
Pia channel za azam nazikamata kwenye akaunti ya FOREVER
Nawaambia ila hamuamini...shukran kaka kwa kuleta ushahd humuMaujanja gani hayo mkuu tuelezee na sisi wengine tukuelewe vizuri umenunua kisimbuzi kipi kaka wengine pia wanahitaji fafanua lakini pia hongera jf kisima cha maarifa