Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,515
- 40,627
- Thread starter
- #81
Muundo unakuwa hauna ushirikiano na sehemu zingineWewe mlaji ndio utuambie Unajuaje kwamba Huyu kajitengeneza?
Muundo unakuwa hauna ushirikiano na sehemu zingineWewe mlaji ndio utuambie Unajuaje kwamba Huyu kajitengeneza?
Hakuna matataNdo mana nkasema egesha mlango tu
☺️☺️Hakuna matataHakuna matata
Soon, nitakuwa ukanda huo☺️☺️Hakuna matata
Wat a wonderful phrase
Hakuna matata
Ain't no pazzing craze
For the rest of your days
Lalalaaaaaah
Kwaio unapenda mwanaume mwenye hela nkt wewe mwenyewe hauna au sio...🤣🤣🤣Sisi wenyewe tunapenda wanaume wenye mionekano mizuri ,wananukia vizuri na wenye helaaaaaaaaaa
Zangu ni zangu za mwanaume zetu woteKwaio unapenda mwanaume mwenye hela nkt wewe mwenyewe hauna au sio...🤣🤣🤣
ha ha ha ukipata mjanja, na zenu zitaliwa tuZangu ni zangu za mwanaume zetu wote
Ooh ukanda huu wetu.....haya sawaSoon, nitakuwa ukanda huo
Dunia ni kuzungukaOoh ukanda huu wetu.....haya sawa
Kumbe na hela unazopia nyie ndo tunaowatafuta...njoo huku kunako PM...tuyajenge...🤣🤣🤣🤣Zangu ni zangu za mwanaume zetu wote
Dunia ni kuzunguka
Uko sahihi, kingine ni maamuzi tuDunia inajuzungusha yenyewe kwa hyo subili itafika tu pahali unapotaka kuona ni swala la wakati
OMGNa mwanamke yeyeto mzuri mwenye shape upenda mwanaume mwenye pesa
Daaah! Huu uzi ulikuwa umenipita nilikuwa nimepigwa ban ya siku 3, leo majira ya saa 10 jioni ndo nimeruhusiwa
😊😊😊Uko sahihi, kingine ni maamuzi tu
Ulishawaonaga live lakini?
Utu na utulivu...Ungesema ya plastic na udongo.Hiyo neno chafuchafu umeharibu neno utu na ustaarabu