Search results

  1. Shabeli

    Nina shida na namba za mkurugenzi wa RITA

    Habarini Wana JF, Mimi nlikua nafanya kazi taasisi Fulani hapa Tanzania kwa bahati mbaya ikafutwa na maelekezo yakaja kwamba stahiki zetu tutapata baada ya Mkurugenzi wa RITA kukamilisha ufilisi na Sasa alishakamikisha na tukapewa fomu za kusaini tulipwe stahiki zetu ,Ilikua ni mwezi wa kwanza...
  2. Shabeli

    Nafasi zipi za kazi zipo ndani ya kiwanda cha maziwa?

    Hapana, ila Kuna mtu anampango huo hivyo anahitaji msaada wa kujua.
  3. Shabeli

    Nafasi zipi za kazi zipo ndani ya kiwanda cha maziwa?

    Asante, lakini Mimi nahitaji wale tu ambao wanahusika mule ndani ya kiwanda pekee yaani wanaofanya KAZI ya uchataji wa maziwa tokea yatoke shambani mpaka yanafungwa kwenye vifungashio tayari Kwa kuuzwa, lakini dereva yeye husubiri mchakato ukamilike ndani ya kiwanda ndiyo asafirishe, Mimi...
  4. Shabeli

    Nafasi zipi za kazi zipo ndani ya kiwanda cha maziwa?

    HABARINI Ninashida ya kujua nafasi za kazi zinazopatikana kwenye kiwanda cha kusindika maziwa mfano benki kuna afisa mikopo na wenge. Je, kwenye kiwanda cha maziwa ni nafasi gani zipo? Asanteni
Back
Top Bottom