Nafasi zipi za kazi zipo ndani ya kiwanda cha maziwa?

Shabeli

Member
Jul 18, 2022
5
0
HABARINI

Ninashida ya kujua nafasi za kazi zinazopatikana kwenye kiwanda cha kusindika maziwa mfano benki kuna afisa mikopo na wenge. Je, kwenye kiwanda cha maziwa ni nafasi gani zipo?

Asanteni
 
1. HR
2. Wataalamu wa usindikaji chakula
3. Mafundi wa makenika(mashine)
4. Madereva
5. Manunuzi na wagavi
6. Maafisa usafirishaji
7. Nk
Naongezea
8. Storekeeper
9.Sales and marketing
10.Quality assurance ( cjui huku ataitwa hivi hivi)
11. Wafanya usafi na watu wa production
 
1. HR
2. Wataalamu wa usindikaji chakula
3. Mafundi wa makenika(mashine)
4. Madereva
5. Manunuzi na wagavi
6. Maafisa usafirishaji
7. Nk
Asante, lakini Mimi nahitaji wale tu ambao wanahusika mule ndani ya kiwanda pekee yaani wanaofanya KAZI ya uchataji wa maziwa tokea yatoke shambani mpaka yanafungwa kwenye vifungashio tayari Kwa kuuzwa, lakini dereva yeye husubiri mchakato ukamilike ndani ya kiwanda ndiyo asafirishe, Mimi nahitaji wale was ndani pekee
 
Mkuu ukisema hivyo ina maana unamsemea mtaalam wa usindikaji chakula na machine operator
 
Asante, lakini Mimi nahitaji wale tu ambao wanahusika mule ndani ya kiwanda pekee yaani wanaofanya KAZI ya uchataji wa maziwa tokea yatoke shambani mpaka yanafungwa kwenye vifungashio tayari Kwa kuuzwa, lakini dereva yeye husubiri mchakato ukamilike ndani ya kiwanda ndiyo asafirishe, Mimi nahitaji wale was ndani pekee
Mkuu ukisema hivyo ina maana unamsemea mtaalam wa usindikaji chakula na machine operator na mtu wa quality assurance
 
Asante, lakini Mimi nahitaji wale tu ambao wanahusika mule ndani ya kiwanda pekee yaani wanaofanya KAZI ya uchataji wa maziwa tokea yatoke shambani mpaka yanafungwa kwenye vifungashio tayari Kwa kuuzwa, lakini dereva yeye husubiri mchakato ukamilike ndani ya kiwanda ndiyo asafirishe, Mimi nahitaji wale was ndani pekee
Naomba kujuwa! Una kiwanda? Au lengo la kujua haya ni nini?
 
Hapana, ila Kuna mtu anampango huo hivyo anahitaji msaada wa kujua.
 
Back
Top Bottom