Search results

  1. Blaine

    suggestion dhidi ya tatizo dini vs mahusiano

    hamjambo JF. nimeobserve issue ya dini tofauti na mahusiano na kuona some couples ambao wameweza kuwa pamoja na kuishi vema huku wengine wakisambaratika kutokana na pressure ya wazazi/ndugu. nimeishi na watu kadhaa na moja ya familia zenye amani nilizokaa nazo zilikuwa mixed dini na niligundua...
  2. Blaine

    touching sad story

    i saw at yahoo before logging off, nikasikitika. A 2-year-old boy with only weeks to live will serve as best man when his parents wed this weekend. Sean Stevenson and Christine Swidorsky, of Jeannette, had planned to wed next year but decided to move the ceremony up to Saturday so their son...
  3. Blaine

    kujisafishia mchanga

    habari wanaJF mnamo 2008 nlikuwa pale tazara training nikaona wafanyakazi pale wakinawa kutumia mchanga. i tried it and viganja vyangu vilikuwa really smooth for a while. leo nimekuwa nikijiuliza kama ule mchanga ni 'special' for cosmetic au just ordinary. kuna yoyote anayeweza kunisaidia kwa hili
  4. Blaine

    response to ushauri about the closed thread

    mtu anapokiuja kuomba ushauri hapa jf anategemea kupata opinions za watu tofauti sio just mmoja. idea yako ya kupatwa na "jambo gumu" mpaka unashindwa kuliandika hapa ni hadithi. zimekuwepo mada za kuomba ushauri kuhusu kuibiwa mke/mume, kunyanyaswa, bullying, same sex attraction etc na watu...
  5. Blaine

    1000th post

    Good Aftenoon JF hatimaye leo nimefikisha 1000 posts. haikuwa rahisi maana kuna baadhi ya thread ni trolls na zingine sina ujuzi wa kutosha kuchangia :(. Anyways its been 345 days since joining and I'm glad I made it this far. kwa wote waliopenda posti zangu nawashukuruni na wale niliowakwaza...
  6. Blaine

    Viyager 1 leaves the solar system

    nimeipata hii habari leo nilipoingia yahoo na nimeona ni share na wengine maajabu ya mzungu NASA's long-lived Voyager 1 spacecraft, which is heading out of the solar system, has reached a "magnetic highway" leading to interstellar space, scientists said on Monday. The probe, launched 35...
  7. Blaine

    Dhamana kwa murder suspects

    Good afternoon wanajf. ninapenda kujua maoni ya watu kuhusu dhamana kwa watuhumiwa wa mauaji. kama tujuavyo murder cases hazina bail na suspect hulazimika kukaa rumamne mpaka uchunguzi ukamilike na hii huweza kuchukua miaka kadhaa. personally naona hii sio sawa kwa sababu zifuatazo kumweka mtu...
  8. Blaine

    Aother Gay Test

    :happy::happy:
  9. Blaine

    nina swali

    good sunday JF, naombeni kuuliza. siku za jumapili nikiwa naenda church nimekuwa naona watu wakitembea hasa hii njia ya oysterbay along the ocean. wako dressed for a walk na ni wengi. mwanzoni nilidhani ni charity walk ya IST lakini nimeona the same thing hii sunday ya tatu, so kuna kampuni au...
  10. Blaine

    alienda mbinguni halafu akarudi

    hamjambo wana JF. leo wakati nina login email yangu nimekutana na hiki kisa na mineona vizuri nikishare. naombeni maoni yenu. click on the link heaven-real-says-neurosurgeon-claims-visited-afterlife
  11. Blaine

    je, una bahati

    someni hii na uone kama kweli unabahati.
  12. Blaine

    somo la uchoraji

    please changieni opinion zenu. hawa ni wanafunzi wa uchoraji (painting) huyu ni dada halisi sio mwanasesere
  13. Blaine

    gay symptoms lol

    Good day JF. nlikuwa ninapitapita online nikakutana na hii stori. I lol'd and decided to ask wanajamii kama ina ukweli wowote. as usual keep it clean plz no matusi nk, if u have a sensible solution iweke kwa manufaa ya wadau. guidelines-identify-gay-lesbian-symptoms-published
  14. Blaine

    mwanaume kapewa maternity leave lol

    Nimekuwa nikipita online nikaona hii habari. wadau imekaaje hii. click on the link, plz tumieni lugha ya staha brazil-government-grants-gay-man-maternity-leave
  15. Blaine

    Oldest Woman

    Nimepitapita yahoo leo na nimeona hii CLICK HERE FOR MORE INFORMATION I wish I could reach her age someday, I got ~91 years to go. what about you guyz and galz?
  16. Blaine

    The Gym Diaries

    S01E01 The Beginning mambo wana JF!! hivi majuzi niliweka uzi wa kutafuta gym buddy na jana nimeanza rasmi mazoezi. kila kitu kilikuwa pouwa lakini mikono inauma bado, rafiki zangu wa jf walishindwa kufika jana so i was all alone but i really enjoyed myself. I can't w8 nikienda baadae. napenda...
  17. Blaine

    gfsonwin kwenye gazeti la udaku

    hamjambo wana JF, natumaini wote mnashehereka 8/8 day salama salimini. nimecheki gazeti la udaku la jana na nimeona picha ya gfsonwin ukurasa wa love life. bahati mbaya siko kazini so siwezi kuiscan na kuiweka. :( :(. nimeipenda kweli dada uko juu. dada tuambie, una ubia na gazeti la udaku la J4
  18. Blaine

    rafiki wa gym

    natafuta rafiki (strictly platonic) wa kwenda nae gym na kupiga stori za kawaida wakati wa jioni. vigezo awe na usafiri binafsi awe wa eneo lolote dar es salaam ajilipie membership mwenyewe tuma PM kama uko interested. EDIT: nimebadilisha vigezo vya location kufuata ushauri wa gfsonwin na Ndahani
  19. Blaine

    False Promises :(

    Good evening JF members, today I had a very bad day. i was asked to accompany my mom to bagamoyo to speak with my brother's teacher about his grades. the dude told us to meet him at 1100 hrs so we drove all the way from dar and got there with time to spare. we phone telling him we're here and he...
Back
Top Bottom