kujisafishia mchanga

kujisafishia mchanga

Blaine

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2012
Posts
2,259
Reaction score
1,657
habari wanaJF
mnamo 2008 nlikuwa pale tazara training nikaona wafanyakazi pale wakinawa kutumia mchanga. i tried it and viganja vyangu vilikuwa really smooth for a while. leo nimekuwa nikijiuliza kama ule mchanga ni 'special' for cosmetic au just ordinary. kuna yoyote anayeweza kunisaidia kwa hili
 
Yap kuna mchanga ambao unaweza kuutumia for cosmetics, hasa kwa kuscrub ngozi ya miguu, unyayo na viganja. Huu huwekwa hata kwenye scrub pads kwaajili ya kusugulia miguu.
 
Walikua wanatawadha? Huwa inaruhusiwa kidini nasikia.
Niliwaonaga wale waandamanaji wa Ponda walioandamana kwenda mambo ya Ndani, ulipofika muda wa kuswali, walitumia mchanga.
 
Walikua wanatawadha? Huwa inaruhusiwa kidini nasikia.
Niliwaonaga wale waandamanaji wa Ponda walioandamana kwenda mambo ya Ndani, ulipofika muda wa kuswali, walitumia mchanga.

unaongelea watu gani hao wanaoruhusiwa kunawa mchanga kama kuku?
 
Yaan! hawa mabinti wa kisasa wananikera kweli!
 
Yap kuna mchanga ambao unaweza kuutumia for cosmetics, hasa kwa kuscrub ngozi ya miguu, unyayo na viganja. Huu huwekwa hata kwenye scrub pads kwaajili ya kusugulia miguu.
inapatikana wapi??
 
Back
Top Bottom