mwanaume kapewa maternity leave lol

Huwa naona wanachukua partenity leave ya siku 7 huku.
Huyu wa maternity leave mpya.
true, nadhani wameiita maternity leave ili wauze habari/magazeti zaidi. out of curiosity, wanawake mnapewa leave ya muda gani?
 
Bongo maternity leave 12 weeks, paternity 5 days, malipo full.
US maternity kuanzia 0 weeks na kuendelea kutegemea na State, malipo nayo unakatwa same for paternity.
Sweden maternity miezi 16, paternity nayo miezi 16 ila nadhani mnagawa huo muda baba na mama, malipo ni complicated kidogo.
 
Nine moons; aah nimekosea ni 3 months, mashirika mengine ni 4.
Hilo la kuitwa martenity, labda Boflo anaweza tuelewesha vizuri inakuaje mwanaume apewe maternity na sio paternity!

thank you both kwa maelezo
 
Inategemea ña utaratibu wa sehemu au nchi ufanyayo kazi. Nilipo martenity ni 16 weeks ña partenity ni 4 weeks. Kwenye martenity unaweza una-extend mwezi au miezi bila malipo, huwa inaeleweka ukiomba hivyo.
 
BJ kuna nchi nyingine sasa hivi baadhi ya waajiri wanatoa maternity hadi ya mwaka mzima na mshahara 100%. Sasa ikitokea bahati wazazi ni waajiriwa wa muajiri huyo mmoja wanaweza kushare hiyo maternity leave mama akakaa nyumbami miezi 6 au 9 na baba naye akakaa nyumbani miezi 6 au 3 na wote wakapata mshahara wao wa 100%.

Hebu toka hapa! Yaani tuna-share leave! Kwani tumbo tumebeba wote!
Unanchekesha! Source: marehemu faizafoxy
 
Kwani hii ni hansad??
Haya maneno wameniwekea
Mod naomba muongozo

:confused2:(Hivi hili suala haliko mahakamani kweli)??!!
LOL!! hapa sio bongeni, hakuna mheshimiwa supika.

whats 'hansad' sijaelewa hapo?
 
ki uhalisia martenity leave inatolewa kwa wanawake na wanaume wanapewa partenity leave, ila huyo mbrazili ni mwanaume aliyeolewa na mwanaume mwenzake kwa hiyo anademand right za kuwa mama kwa kuadopt mtoto.
Kwa sheria za tanzania (ELRA, 2004) Mwanamke hupewa siku 84 paid, na kwa mapacha mama hupewa siku100 paid, na awe ni yeye aliyejifungua sio kwa kuadopt mtoto, na baba hupewa siku 3 paid leave, na iwe imethibitishwa kwamba yeye ndiye baba wa mtoto na ichukuliwe ndani ya siku saba za kuzaliwa kwa mtoto.
hii ya brazili ni kali, hata kama ndoa za jinsia moja ni ruksa.
 
hehehe hujasikia hili...shauri yako Best!!! Nchi nyingine kuna raha ya kuwa mzazi bana..Na watu wengine wanatumia kufyatua tu.

Hebu toka hapa! Yaani tuna-share leave! Kwani tumbo tumebeba wote!
Unanchekesha! Source: marehemu faizafoxy
 
Back
Top Bottom