Blaine
JF-Expert Member
- Jan 11, 2012
- 2,259
- 1,657
hamjambo JF.
nimeobserve issue ya dini tofauti na mahusiano na kuona some couples ambao wameweza kuwa pamoja na kuishi vema huku wengine wakisambaratika kutokana na pressure ya wazazi/ndugu.
nimeishi na watu kadhaa na moja ya familia zenye amani nilizokaa nazo zilikuwa mixed dini na niligundua kuna alot of communication na consideration kati wanafamilia na hii ilodumisha amani nyumbani kwao.
hii imenipa wazo la kusaidia kutatua/kuepuka problems za dini vs mahusiano. since wazazi/ndugu zetu bado wana role kubwa kwenye maisha yetu ni vizuri kuwasiliana nao na kujua 'deal breakers' zao hasa kwenye mambo ya mahusiano. kuna familia hazikubali dini/kabila/elimu/economic levels tofauti na hii huumiza sana wachumba maana inaleta frustration na 'need to choose btn family na mchumba' which is not right. kuepuka hii bora tuzungumze na wazazi kuhusu 'deal breakers' ili tujue 'who to avoid' wakati wa kutafuta mchumba. hata ukitokea kumpenda mtu ambaye wazazi watakuja kumkataa, mtaweza kujipanga psychologically na namna ya 'kudeal with it'. naona hii ni bora kuliko kuishi pamoja muda mrefu halafu kuja kuambiwa na wazazi 'hatumtaki huyu mchumba'; au kumwambia mchumba wako 'wazazi hawakutaki' kwa hiyo goodbye. mnakuwa 'mmepoteza muda' na kuharibu plans zenu za maisha.
p.s. sorry for kiswa-nglish