Blaine
JF-Expert Member
- Jan 11, 2012
- 2,259
- 1,657
hamjambo wana JF, natumaini wote mnashehereka 8/8 day salama salimini. nimecheki gazeti la udaku la jana na nimeona picha ya gfsonwin ukurasa wa love life. bahati mbaya siko kazini so siwezi kuiscan na kuiweka. 🙁 🙁. nimeipenda kweli dada uko juu. dada tuambie, una ubia na gazeti la udaku la J4
Last edited by a moderator: