Search results

  1. K

    Hongera Mathew Kilama kwa Kuteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

    The Banana Republic!!😆😆😆😆 Kuna thesis ya mtahiniwa mmoja kichwa cha habari kimeandikwa hivi; "The Tanzania Civil Servants Appeal Authorities Surprisingly" kwa maana ya kwamba utendaji kazi wake ni wa hovyo kabisa, haki za watumishi zinadhurumiwa kwa makusudi kabisa. Mh. Rais Samia Suluhu...
  2. K

    Mtayarishaji wa Kipindi cha Watoto TBC ana ubaguzi

    Haiku kuwa hiyo ni television ya Taifa na sio ya kiislam. Hopeless kabisa Shining!
  3. K

    Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

    Halafu Prof. Mruma na Ossoro walipewa magari mazito hadi ulinzi mkali. Sijui wana walinzi mpaka sasa??
  4. K

    Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

    Sio professional rubbish bali ni PROFESSORIAL RUBBISH 😆😆
  5. K

    RC Makalla asema hakuna shule iliyouzwa Kurasini, aagiza CAG kufanya ukaguzi maalumu

    Kwahiyo Jokate DC wa Temeke ni muongo na mlopokaji kawadharirisha wenzake bure !!
  6. K

    Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

    Kwani maeneo mengine ya Tanzania sio sehemu ya SADC?? why Njombe tu? mbona MSD ina maeneo na makubwa tu ambayo hayakutakiwa kulipiwa chochote badala ya kulipa fidia! hayo ni matumizi mabaya ya fedha za Watanzania. MSD ina maeneo makubwa sehem u za Mwanza, Manyara, Mbeya n.k. Kama ni issue ya...
  7. K

    Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar usimfiche Charles Hillary kwapani, mwache atimize wajibu wake

    Katibu Mkuu Kiongozi wa Zenj ni tatizo kubwa, protocol hazijui na amewai lalamikiwa humu JF kuhusu tatizo la mawasiliano alilo nalo.
  8. K

    Kwaheri Ayubu Ryoba, karibu Zuhura Yunus TBC?

    Aaaaaaaaaaa!!! Zuhura Yunus kushika nafasi ya u-DG TBC bado, anahitaji kujifunza zaidi ukizingatia nafasi ya u-DG is more managerial kuliko kutangaza. Kama ataenda TBC kwa nafasi ya utangazaji ni sawa, lakini sio ya kuongoza watu, vifaa n.k
  9. K

    Mahojiano na Rais Samia: Natumaini Dkt. Ryoba ataanzia pale alipoishia Salim Kikeke badala ya kurudia maswali yale yale

    Aaaaaaa!!! hii ki-protocol imekaaje? Isije ikaonekana ni insubordination kwa Dr. Ryoba kumuhoji bosi wake, ni kweli atamhoji maswala kuntu yenye mantiki na tija kwa Taifa kutokana na yanayoendelea currently katika nchi hii? Au itakuwa ni danganya toto kwetu kwamba Mh. Rais kahojiwa na chombo...
  10. K

    Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

    Hizi ni geresha za MSD ili kuwabrainwash watanzania kutokana na uhaba wa dawa uliokithiri
  11. K

    Rais Samia apunguza gharama za matibabu ya figo kwa asilimia 66

    Ni usanii mtupu!!! Tunataka dawa mahospitalini!!! hizi zingine ni geresha!!
  12. K

    Waziri Ummy Mwalimu: Maduka ya Dawa nje ya hospitali yaliyo ndani ya mita 500 kuondolewa

    Asante Waziri kwa jitihada zako za kuhakikisha sekta ya afya inawajibika ipasavyo kwa wananchi. Lakini naona kama unazunguka sana kuhusu kutatua tatizo la uhaba wa dawa mahospitalini. Wiki iliyopita hapa JF tulitoa maelezo kwa kifupi kuhusu sababu za uhaba wa dawa kwamba ni kwasababu ya...
  13. K

    Hongera Mathew Kilama kwa Kuteuliwa kuwa Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma

    Pole sana ndugu yangu. Eti kuna kilaza mmoja ofisi ya Tume tena ni senior official kabisa anajitetea kwamba eti Tume inavunja Sheria na Kanuni za Utumishi wa Umma kwa kuchelewa kutoa maamuzi ya rufaa za watumishi wa umma kwasababu eti maofisa wa Tume ni wachache, this is hopeless to the...
  14. K

    Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

    Kama dawa hakuna, MSD wameshindwa kutekekeza hilo jukumu, ninashangaa mshahara tunaolipana hapa MSD hela zinatoka wapi kama sio kwamba tunakula mtaji!! Kwasababu kila Tsh.1,000,000/= iliyoletwa na Serikali hapa MSD kwaajili ya dawa ya vituo vya afya Tsh. 200,000/= ilikuwa ni margin ya MSD...
  15. K

    Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

    Asante sana Mh. Waziri kwa kuitembelea Bohari ya Dawa kama ulivyoahidi na kutoa mrejesho wa kinachoendelea hapa MSD. Tuna imani kubwa sana na wewe Mh. Waziri kwa kujituma kwako na ufuatiliaji wako wa karibu utaiokoa hii Sekta ya Afya hasa hii MSD yetu ambayo imekuwa ikidorora kila uchao. Ni...
  16. K

    Ushauri kwa Serikali - Msikate 50% ya Mapato ya Dawa ya NHIF, kwa sasa MSD Haiwezi Kuhudumia Hospitali Kubwa za Rufaa

    Ni mwaka mmoja sasa tatizo la uhaba wa kwenye hospitali za Serikali bado taabu sana, the situation bado ni patheti!
  17. K

    Ummy Mwalimu, karibu tena Sekta ya Afya. Ukifika Bohari ya Dawa MSD tupia jicho pia kwenye haya...

    Ndugu Mh. Waziri Ummy - Waziri wa Afya, kwanza kabisa tunakupongeza sana kwa kuaminiwa tena na Mh. Rais Samia kwa kuiongoza tena Wizara ya Afya - karibu sana. Nakumbuka mara bada tu ya kuapishwa na Mh. Rais kuingoza wizara yetu hii, ulihojiwa na waandishi wa habari na ukaahidi kuitembelea mara...
Back
Top Bottom