Search results

  1. Dogo GSM

    Mazoezi ya mwili hasa sisi tupendao gym. Hasa tuliopo Mafinga

    Nadhani mko salama. Wakuu mimi ni kijana niishie Mafinga ndiko nimeajiriwa huku kitambo kidogo..Ni almost miaka yote mitatu nimekuwa nashindwa kufanya kitu hiki nachokipenda siku zote kiasi kwamba roho huwa inaniuma sana. Mwenzenu napenda sana mazoezi hasa ya gym..lengo langu nishape kidogo...
  2. Dogo GSM

    Nani anamuelewa huyu msanii Grand P?

    Naimani mko buheri marafiki, Naomba mwenye kuweza kuweka CV au taarifa za kina zitazofanya sisi wengine wa ukanda wa Afrika mashariki huku tumjue huyu bwana.Jamaa namfahamu kama msanii mwenye pesa ndefu sana na anaekubalika sanaa huko GUINEA sababu huwa naona huko u-tube anavyotrend kwa views...
  3. Dogo GSM

    Wenzetu kazi za uaskari na jeshi wanaajiriwa wakiwa wadogo sana

    Halloo..habari za weekend ndugu zanguni, Nimeona hii nchi nyingi zenye machafuko haswaa ndipo huajiri vijana wenye umri mdogo sana katika kazi hizo nadhani ni kutokana na uwepo wa hayo machafuko haswaa nchi za kiarabu huko. Hapa Afrika nimeona nchi kama nigeria,Somalia,na kwingine kote...
  4. Dogo GSM

    Askari JWTZ apewa kichapo baada ya kutomlipa bodaboda Mafinga

    Wakuu nchi imekuwa ngumu hii nahisi kila mtu amevurugwa, imetokea jana asubuhi kuna jamaa anasemekana ni mjeda amepewa kichapo na vijana hao wenye hasira kali. Chanzo ni baada ya bodaboda kumpeleka mjeda huyo kazini..inasemwa mjeda huyo alifika kijiweni juzi asubuhi na kumchukua boda mmoja...
  5. Dogo GSM

    Nina tatizo la ngozi kuwa kavu na kupauka hasa katika mikono

    Wakuu kuna ugonjwa umenianza na unanitesa miezi miwili sasa, ngozi yangu imekakamaa hata nipake mafuta vipi baada ya muda flani inapauka tena,hasa mikononi. Licha ya hivyo pia inaambatana na miwasho katikati ya vidole pia ngozi yenyewe inawasha. Naomba kujua dawa za kutumia kutibu hili...
  6. Dogo GSM

    Jamaa alilenga kufanya mashambulizi ubalozini na si vinginevyo

    Wadau kwa maswali mnahoji uliza, kwanini hakuua raia na akaua Askari ni kwamba, jamaa hakulenga kuua raia yoyote ataeonekana mbele yake. Pia hakuwa na lengo la kuua askari ila aliwashambulia sababu alijua wamekuja kumzuia kufanya mission yake. Lakini pia mnaohoji kwanini polisi walimlenga kwa...
  7. Dogo GSM

    Nahitaji msichana wa kujenga nae mahusiano

    Hallooo mambo vipi wadau wa jf,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 nahitaji msichana ataekuwa tayari tujenge uhusiano ili Mungu akijaalia nimuoe. Awe tayari kupima afya.mimi naishi mkoa wa iringa na nipo kikazi huku. NB:picha ni id ya jf tu
  8. Dogo GSM

    Natafuta rafiki wa kike wa kujenga naye mahusiano yenye malengo

    Hallooo hodi humu ulimwenguni..mimi ni mfuatliaji wa jf kitambo almost miaka mitano nyuma ila kutokana na ubize na kutokuwa na mood ya kuexist kipindi hicho now nimeamua kujiregister kabisa mazima. Bila kupoteza muda post yangu ya kwanza inaanza na lengo langu la msingi tuu. Mimi nahitaji...
Back
Top Bottom