Search results

  1. Shusa luck

    ISRAEL Vs PALESTINE

    Niwazi kwamba Israel haina uwezo wakupambana na Palestine kutokana na kuishiwa mbinu za kivita, Israel imekuwa ikitegemea msaada Kutoka Mataifa Kama USA na UK, hivyo baada ya USA kuyumba kiuchumi imepelekea ata Israel kukosa nguvu za kuikabili Palestine
  2. Shusa luck

    Sayansi ya nyota

    Naombeni tujadili kidogo kuhusu hili Jambo. Je nikweli kwamba ukiwa kwenye mwezi, nyota hauzioni? Kama nikweli, nikwanini?
  3. Shusa luck

    Timu ipi ina Jersey nzuri msimu huu 2022/2023?

    Kati ya Simba, Yanga na Azam
  4. Shusa luck

    Historia fupi ya Taiwan

    By Shusa Luck Historia fupi ya Taiwan Historia ya awali, Era ya kisasa, na Kipindi cha Vita vya baridi Ikopo maili 100 kutoka pwani ya China, Taiwan imekuwa na historia ngumu na uhusiano na China. Monetized by optAd360 Historia ya awali Kwa maelfu ya miaka, Taiwan ilikuwa nyumbani kwa...
  5. Shusa luck

    Historia ya Manchester City

    Manchester City ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko katika jiji la Manchester, Uingereza, ambayo inashiriki katika Ligi Kuu ya Uingereza. Timu ya Manchester City Ulianzishwa mwaka 1880 kama St Mark's (West Gorton), ikawa Ardwick Association Football Club mwaka wa 1887 na Manchester City mnamo...
  6. Shusa luck

    Je, yanayoendelea Urusi, Ukraine, China na Taiwan yanaweza kusababisha Vita ya Tatu ya Dunia?

    Je, mizozo inayo endelea katika mataifa mbalimbali kama Russia na Ukraine, China na Taiwan inaweza pelekea vita ya tatu ya dunia?
Back
Top Bottom