Search results

  1. kookaburra

    Mwanaume raia wa Burundi anayeishi kama mwanamke, ana mke na watoto

    Hafanyi vitendo vya kishoga, ni mavazi tu Mwanzo aliishi kama wanaume wengine kwa kawaida za kiume. Kipindi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe ilibidi avae mavazi ya kike ili asigundulike kuwa ni mwanamme kwani ilikuwa wanaume waliuawa zaidi kuliko wanawake. Ameipenda hali yake maana zaidi ya...
  2. kookaburra

    Wageni vs Wenyeji kutokuelewana

    Nimeletewa kisa ndugu wa mume katembelea hii family ila baada ya siku chache tu anawanunia wenyeji wake, lakini pia nimeshaona na kusikia pia sehemu tofautitofauti. Naomba mnisaidie hivi hii hali ya kutokuelewana kati ya wenyeji na wageni hivi inasababishwa na nini. a/Wewe umetembelea mahali...
  3. kookaburra

    Poleni wafanyikazi, Maskini hapendi mwana!

    Uchumi uko chini, serikali imeshindwa ongeza mishahara kwa watumishi wa umma.
Back
Top Bottom