Search results

  1. M

    CCM wamezidi kuchanganyikiwa, uhakika wa UKAWA kushinda sasa ni dhahiri

    Nimekuwa nafuatilia kampeni za CCM kwenye social media. Social media has been my thing since mwanzoni mwa karne hii, old guards Nyani Ngabu and the gang you know what I am talking about. SO, kuanzia July, January Makamba na wenzake wakaamua kuichukua internet by storm, Le mutuz akafikia hatua...
  2. M

    Nani anayehusika kutengeneza Message na barua pepe fake dhidi ya UKAWA?

    Ngoja nitumie principle ya Pasco, mwanaJF ninayemheshimu sana hapa jukwaani. Sitamtaja moja kwa moja kwa jina ili mada yangu isifutwe, ila nitakuachia wewe wewe mwana JF uunganishe mbili na tatu kisha upate jibu. -- Ni mheshimiwa sana kwenye serikali ya ccm -- Sio mropokaji kama waropokaji...
  3. M

    CCM mtasubiri sana mpasuko wa UKAWA hadi mfe kwa kihoro

    Wanabodi, Kwanza kabisa namshukuru MUNGU kifungo cha wiki mbili nilichopewa na waendesha forum hii kimekwisha. Kwa wale msiojua, sababu niliyopewa na mod kwa kufungiwa ni kupost vitu vingi sana. Sasa tujiulize swali dogo tu, kati ya mie na mwanaccm hapa anayeitwa mr. chin au vijana wengine wa...
  4. M

    Ushauri kwa CHADEMA -- Ondoeni kansa (Zitto Kabwe) ili chama kisonge mbele

    Ohh I know I know I know I know...... Wakati wa uchaguzi nilianzisha thread ya kusifia kazi ya Zitto. Yeah, ni kweli Zitto ni mwanasiasa machachari (kwa mujibu wa vyombo vya habari Tanzania), and yes, Zitto amekuwa mwanachadema tokea enzi za Kaburu (mwanachadema aliyehamia ccm). Pamoja na...
  5. M

    Elections 2010 Ushahidi wa wizi na udanganyifu kwenye matokeo ya kura huu hapa

    Watu wamepiga kelele sana na kumponda Dr Slaa kuwa anaongopa kuhusu wizi na udanganyifu kwenye kujumlisha matokeo ya uraisi. Ushahidi wazi kuwa matokeo ya kura haya ni ya uongo ni huu hapa: Waosha vinywa pingeni na hili pia
  6. M

    Elections 2010 Swali kwako Kikwete, utaua wangapi ili kuhakikisha ulaji?

    Tanzania nzima wananchi wanapigwa na polisi, mabomu, virungu, risasi etc. Haya yote ili kulazimisha wewe na familia yako muendelee kuitawala na kuifilisi nchi yetu. Swali dogo kwako, Utaua wangapi mwaka huu? Swali la nyongenza, baada ya miaka mitano utaishi wapi?
  7. M

    Elections 2010 Dr Slaa, tafadhali toeni tamko kuhusu ufisadi wa kupindukia unaofanywa na NEC

    Dr Slaa, Kwanza kabisa, Asante sana kwa kazi nzuri uliyotufanyia watanzania mwaka huu. Mafanikio ya vyama vya upinzani katika ngazi za udiwani na ubunge yamechangiwa kwa kiasi kikubwa sana na ushiriki wako kwenye kampeni za uraisi. Hata hivyo, hii speed ya kutangaza majimbo 14 kwa siku...
  8. M

    Usultani kurejea Tanzania - Jakaya --> Salma -->Ridhiwani--->yule bosi wa chipukizi

    Najua wengine mtaanza, ohh mwafrika una obsession na Kikwete's family BUT ukweli ni kuwa, Kikwete na familia yake ndio wana obsession na mwafrika. Kama wangeacha kufilisi na kuaibisha nchi yetu, mimi hata nisingesema chochote kuhusu wao. Kikwete katumia bilioni 29 kupaka rangi ikulu. Katumia...
  9. M

    Uhusiano wa January Makamba, mtoto wa Kinana, na Rashid Shamte ni mkubwa zaidi

    Uhusiano kati ya January Makamba, mtoto wa kinana na yule jamaa wa text za kichochezi na chuki dhidi ya wakatoliki Tanzania nzima, kabila la wachagga, na wakazi wa mikoa ya kaskazini (ajulikanaye kama Rashid Shamte) ni mkubwa kuliko tulivyodhania. Jana kulikuwa na habari kuwa Shamte anataka...
  10. M

    Elections 2010 CHADEMA wafunika kanda ya magharibi: Kampeni za Zitto katika picha usipime

    Kwanza kabisa, niweke wazi kuwa mimi na Zitto tumekuwa na tofauti zetu kisera for a while hapa JF. For a while there was some kinda of ....(...) going on between us. Kikao cha kamati kuu cha kumpitisha Slaa kuwa mgombea uraisi wa chadema kilirejesha hali ya umoja ndani ya chadema ambayo ilikuwa...
  11. M

    Kampeni/mikutano ya/za Kikwete na wanawake - picha

    Wale wachafuzi wa threads (malaria sugu na wenzako) mkae mbali kabisaaa na msilete upupu wenu hapa. Hii ni thread ya kuonesha kinachoendelea kwenye mikutano/kampeni za kikwete:
  12. M

    Elections 2010 Kampeni za Kikwete na watoto wa shule - picha

    Watetezi wa haki za watoto wa shule tunzeni hii picha. Katika kesi kibao zitakazofunguliwa dhidi ya mafisadi wa ccm, hii ya kulazimisha watoto wa shule kwenda kwenye mikutano ya kampeni ya ccm itakuwa kwenye top ten:
  13. M

    Zawadi murua kwa Nyani Ngabu na Steve Dii

    Nyie wasee mko wapi? Mmekuwa kimya hadi inatisha?! Hii ni zawadi yenu toka kwenye mini-fiesta inayoendelea Tanzania kote: Steve Dii naona macho yako umeelekeza 1100. NN nakuona macho yako yakiwa 1300 and 1100 and 1500
  14. M

    Elections 2010 Tuelezwe juu ya afya ya Rais Kikwete!

    Haya wadau, kama mjuavyo, ile mada ya Kikwete kuanguka imefungwa. Sasa hii mpya nimeifungua ili tuendeleze libeneke. Watanzania tunataka tuambiwe ukweli kuhusu afya ya amirijeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama wa nchi yetu. Kumbukeni kuwa mficha uchi hazai (au hapati raha ya mapenzi)...
  15. M

    Elections 2010 Nani kama Jakaya Kikwete kwa maendeleo?

    Maji safi ya kunywa kwa kila mtu:
  16. M

    Elections 2010 Kampeni za CCM katika picha - toa maoni yako

    Kwa wale ambao hii picha haionekani vizuri, someni post ya Wozoza kaiweka vizuri hapo chini:
  17. M

    Swali, Bajaji 400 Kikwete alizowaahidi wanawake wajawazito ni kwa Tanzania nzima?

    Kama mnakumbuka, Mheshimiwa wetu mpendwa Jakaya mwana wa Kikwete alitoa ahadi (moja kati ya mamilioni ya ahadi alizokwishatoa so far) kuwa atawanunulia wanawake wajawazito Bajaji mia nne ili zitumike kama ambulance ya kuwapeleka zahanati wakati wa kujifungua. Ahadi hii kama sikosei ilitolewa...
  18. M

    Elections 2010 Toka kwa mwenzetu, mpole, mwadilifu, mbarikiwa na mpenda JF kwa moyo - Masanilo

    Nilishangazwa sana na kitendo cha Nakaaya kuamua kukabidhi kadi ya CHADEMA kwa Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni mgombea urais kupitia chama hicho. Nakaaya kwenye Magwanda ya CHADEMA nilikuwa namwona kama nuru ya vijana wenye mioyo ya kimapinduzi na wenye kutakia mema Tanzania yetu. Baada ya...
  19. M

    Elections 2010 Kikwete amedaganya? - mishahara ya wafanyakazi haijapanda

    Binamu zangu wawili wanaofanya kazi serikalini hawajaona ongezeko lolote la mishahara na haionekani kama malipo ya mwezi wa tisa yatakuwa na nyongenza hiyo. Kuna yeyote ambaye anataarifa tofauti?
  20. M

    Jambo zuri limefanyika Tanzania - hongera TRA

    Hii nimeona kwa michuzi (toka kwa subi toka somewhere) kuhusu DL mpya....safi sana na hongera:
Back
Top Bottom