Uhusiano wa January Makamba, mtoto wa Kinana, na Rashid Shamte ni mkubwa zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uhusiano wa January Makamba, mtoto wa Kinana, na Rashid Shamte ni mkubwa zaidi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwafrika, Oct 20, 2010.

 1. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Uhusiano kati ya January Makamba, mtoto wa kinana na yule jamaa wa text za kichochezi na chuki dhidi ya wakatoliki Tanzania nzima, kabila la wachagga, na wakazi wa mikoa ya kaskazini (ajulikanaye kama Rashid Shamte) ni mkubwa kuliko tulivyodhania.

  Jana kulikuwa na habari kuwa Shamte anataka kukimbilia nje ya nchi (very likely - Dubai). Hii habari bado ina utata lakini habari za ndani zinaeleza kuwa familia ya Makamba na Kinana wanahangaika kufanya kila wawezalo kujitenga mbali na Shamte.

  Kuna kitu nafuatilia so kwa sasa naiacha hii story kama news alert, nikipata info zote, nitaweka hapa ili watu wamkome nyani giladi mchana kweupeeeeeeeeeeeeeee.

  USHAURI KWA JANUARY MAKAMBA, huu mpango wenu wa kuanzisha vita ya kidini na kikabila si mzuri kwa ndoto yako ya kuwa raisi wa jamhuri wa Tanzania siku za mbeleni. Kama Tanzania ikitumbukia katika vita, je wewe utaongoza vipi nchi hiyo?
   
 2. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #2
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  mtoto yupi wa mfalme yupi anafuata kuwa mfalme katika falme ya tanzania ni january makamba, ridhwani kikwete, miraji kikwete, hussein mwinyi?
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Mwinyi ilikuwa aingie Zanzibar ila Bilal akaharibu kila kitu. Sasa hivi macho yote yameelekezwa kwenye uraisi wa JMT. Kwenye list hapo muongeze mama Salma Kikwete.
   
 4. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Aisee kwa hili wanalojaribu kulifanya, adhabu yake itakua ni kubwa kuliko manufaa watakayo pata :dance:
   
 5. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #5
  Oct 20, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Udini uzaliwa damuni...I mean it is inherent!
   
 6. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35


  Mkuu kwa hili la Bwana January kushabikia Udini na Ukabila sitaki kukubaliana na wewe,January mwenyewe kama walivyo watanzania wengi kachanganya kwenye Dini,Mama yake ni Mkristo na ndio maana labda Mzee Makamba ni fundi wa kupitia vifungu vya Biblia,pia Mama huyo ni Muhaya,na Januari ambaye ni Msambaaa kaoa mwanamke Mkristo na ni Mchaga,kwa maana hiyo kumuhusisha na huu ubaguzi wa kidini na Ukabila naona hatumtendei haki!
  Isiwe Ushabiki wa kiitikadi ndio unatupeleka kuandika mambo yasiyo kweli ,tujaribu kuandika ukweli.​   
 7. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #7
  Oct 20, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duhh! wanaota mchana bila kulala usingizi hao!!! January Makamba atawatawala Wasambaa wenzake tu!!!:jaw:
   
 8. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #8
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145

  Tanzania ukiwa MHALIFU na UNA PESA ni rahisi kuwa nje kwa dhamana kuliko ukiwa MASKINI!

  Kwa nini wanampa dhamana huku wakijua kwamba kesi hii ni NYETI SANA?
   
 9. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #9
  Oct 20, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mama Salma Kikwete akiwa rais na nchi hii nahama na mwanangu kwenda kuishi uhamishoni Afghanistan hadi miaka yake mitano ipite. Heri nikaishi ukimbizini tora bora kuliko kuongozwa na mwalimu wa chekechea, aliingia madarakani ung'eng'e unamshinda ndo awe rais....
   
 10. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #10
  Oct 20, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,373
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  Upumbafu tu.............yeye ni muislamu na makamba sr anajaribu tu kuwarubuni wakristo km alivyowarubuni waislamu kuhusu mahakama ya kadhi ndyio maana anajaribu kuisema bible kimdomoni wkt moyo wake ni kutaka kura za wakristo........january ni muislamu kitendo cha kuoa mchaga sijui muhaya ni furaha tu kwa waislamu km kawaida yao wafurahipo kuoa mkristo na huwa wanahesabu km mafanikio makubwa........,makamba ni mnafiki na ni uchafu kutumia bible ambayo yeye mweneyewe na dini yake hawaiamini km ilivyo kwa wakristo kutoiamini quran kitabu chenye uchochezi wa chuki na mauaji
   
 11. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #11
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kwa kuyajua yote hayo, ndio maana nimempa ushauri wa bure..... nimemuuliza swali kuwa, kama nchi ikitumbukia katika vita ya kidini au kikabila, yeye January ataongoza nchi gani?

  BTW Mkuu mawado, umezisoma hizo text zinazoenezwa kwa njia ya simu toka kwa kampeni ya Kikwete? Hizo kama sio chuki za kidini na kikabila, ni nini?
   
 12. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #12
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  First off let me declare that I am the farthest thing from a January fan. I actually vigorously attacked his ascent a couple of times, most lately his authenticity as MP resulting from the unorthodox and unconstitutional process of "no contest MPs", heck, I am not a January fan, why, I am not even on the same calendar !

  But from the simple principle of verification and impartiality in order to ensure the integrity of your information, I would like to ask the following. In case any of these questions have been answered point me to the answers.

  1.Umesema kuna uhusiano kati ya January, mtoto wa Kinana na Rashid Shamte, je uhusiano huu ni wa aina gani, ni kwa nini uwe na umuhimu wa kuujua na una vithibitisho gani vya kuaminika kwamba uhusiano huu upo?

  2. Umesema unaleta habari zenye utata, kwa nini tukuamini wewe na habari zako zozote ikiwa wewe mwenyewe unakubali kwamba habari unazoleta hapa zina utata? Kitu gani kinakufanya uamini kwamba Makamba na Kinana walihusiana na Shamte in the first place mpaka kutaka kuji distance naye sasa? Unatupa ushahidi gani kwamba Makamba na Shamte wanataka kuji distance na Shamte?

  3. Huo mpango wa January kuanzisha vita ya kidini umeujuaje? Una ushahidi gani? Na kama ulivyosema wewe mwenyewe, January kama ana ndoto za urais (umejuaje?) kwa nini atake kuleta vita? I know January is not all that he is cracked up to be, but he is certainly more intelligent to know that he will hardly gain anything from a war and most likely he will destroy the "peace" ace card used by CCM, sasa kwa nini January auhusuru mji anaotaka kuwa mfalme wake? Kwa nini aunguze kasri analotaka kuwa bwana wake?
   
 13. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #13
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0

  Kwa hiyo hujui kwamba walio engineer zile message za uchochezi ni January Makamba na Rashid Shemte!!?? Au ushabiki wa kisiasa unakufanya usiamini hivyo na ushahidi wote uliwekwa hapa.!!

   
 14. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #14
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Wecome back Kiranga.

  Kwa sababu amepumbazwa na vilaza wa ccm (wasioona mbali zaidi ya pua zao).
   
 15. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #15
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Baseless questions !!! Kwa hiyo hujui kwamba Kinana amejuana na Rashid Shemte through January Makamba, Hujui kwamba Kinana Makamba, Kikwete na watoto wao ni kitu kimoja kwenye hizo message za kichochezi, Hujui kwamba ni kweli Kiwete na hao waliosambaza message wanachochea chuki za kidini na ukabila unaoweza kuangamiza taifa!!!!??? Kama yote hayo huji basi kwa herrrrrrrrriiiiiiiiiiiiii!!

  Kwa maelezo zaidi ili uweze kuelewa basi soma thread hii kwa makini :- https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/79173-aliyesambaza-meseji-za-kumkashifu-slaa-ni.html

  Click link hii uone uhusiano wa January na Shamte

  http://www.mohammeddewji.com/blog/?p=169
   
 16. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #16
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Questions to address the authenticity of the claims made in the thread could never be baseless, in fact I can argue nothing could be more basic.

  Nimesoma hiyo thread sijaona kitu concrete zaidi ya kusema huyo Rashid Shamte ndiye aliyetuma hizo messages. Kama kuna kitu specific katika 15 pages za hiyo thread naomba unionyeshe. Ninachokataa ni kukubali tu kwamba kuna uhusiano kati ya Kinana, Makamba na Shamte, na kwamba Makamba anataka kuanzisha vita vya kidini, bila hata tone la ushahidi.

  Ushahidi wenu uko wapi?
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Oct 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hujajibu maswali ya kiranga na unaaproach mambo kishabiki

  uhusiano upo? kama upo justify basi...... tuache jazba na inclinationation towards irrationalities
   
 18. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #18
  Oct 20, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye nyekundu umeniacha hoi, umenikumbusha bwana mmoja wa JF anaitwa Wa.16 alitoa kauli kama yako na akapotea jumla
   
 19. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #19
  Oct 20, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Trust me .... Siendi kokote
   
 20. carina-TI

  carina-TI Senior Member

  #20
  Oct 20, 2010
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :biggrin1::biggrin1::biggrin1:
   
Loading...