Elections 2010 Kikwete amedaganya? - mishahara ya wafanyakazi haijapanda

Mwafrika

JF-Expert Member
Nov 20, 2006
5,490
226
Binamu zangu wawili wanaofanya kazi serikalini hawajaona ongezeko lolote la mishahara na haionekani kama malipo ya mwezi wa tisa yatakuwa na nyongenza hiyo. Kuna yeyote ambaye anataarifa tofauti?
 
Binamu zangu wawili wanaofanya kazi serikalini hawajaona ongezeko lolote la mishahara na haionekani kama malipo ya mwezi wa tisa yatakuwa na nyongenza hiyo. Kuna yeyote ambaye anataarifa tofauti?
Ebu kama una mtu wako Polisi kaulizie! utajua ukweli kwamba nyongeza hazikuwa kwa wafanyakazi wote. Polisi na magereza nasikia hao wamelambishwa. Wengine atika majeshi sina hakika. Mwenye datas atupatie.
 
walimu wameongezewa kama laki moja, na police pia, ambao sasa wanapata kama laki mbili kwa police wa vyeo vya chini,
 
Back
Top Bottom