Ushauri kwa CHADEMA -- Ondoeni kansa (Zitto Kabwe) ili chama kisonge mbele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri kwa CHADEMA -- Ondoeni kansa (Zitto Kabwe) ili chama kisonge mbele

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwafrika, Dec 28, 2010.

 1. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Ohh I know I know I know I know......

  Wakati wa uchaguzi nilianzisha thread ya kusifia kazi ya Zitto. Yeah, ni kweli Zitto ni mwanasiasa machachari (kwa mujibu wa vyombo vya habari Tanzania), and yes, Zitto amekuwa mwanachadema tokea enzi za Kaburu (mwanachadema aliyehamia ccm).

  Pamoja na kujua haya yote, nimefikia hitimisho kuwa Zitto ni kikwazo kikubwa sana cha maendeleo ya CHADEMA. Mara kwa mara, Zitto amekuwa anaua momentum za mageuzi Tanzania. Fuatilia yafuatayo kwa makini:

  1. Zitto aliua momentum ya wapinga ufisadi nchini pale alipokubali kuingia kwenye tume ya raisi ya madini. Wabunge wengi (wakiwemo wa ccm) walitaka iundwe tume huru ya bunge ili ifanye kazi yake kwa uhuru bila mwingiliano wa serikali lakini Kikwete na mafisadi wenzake wakataka iundwe tume ya raisi (isiyokuwa na nguvu yoyote kisheria). Matokeo yake wote tunayajua.

  --- issue ya buzwagi ilikufa
  --- Andy Chande alijua mapendekezo ya tume ya madini kabla ya wabunge
  --- Zitto alipata pesa za kutosha kununua hammer (maneno ya zitto haya)
  --- Na kadhalika

  2. Dowans ni beast linalokula mapesa ya watanzania. Wanachadema na watanzania wengi walianzisha movement ya kuvunja mkataba wa kipuuzi wa Dowans (trust me, this can be done). Wakati mambo yakiwa kwenye high time, Zitto kama kawaida yake, akaua momentum kwa press release yake kuwa Dowans lazima ilipwe pesa na serikali. Ingawa baadaye alikuja na bonge la u-turn kuwa anataka Dowans itaifishwe (what a schit), but wote tunajua kuwa ile momentum against dowans ilikufa right there.

  --- Leo hii, Dowans iko mbioni kulipwa mabilioni ya pesa

  3. Wakati kampeni za uchaguzi 2010 zimeanza, Zitto kama kawaida yake, alitaka kuleta vurugu la mwaka CHADEMA, pale alipotangaza kuwa anampango wa kugombea uraisi wa Tanzania 2015. Yeye mwenyewe amekiri kwa katiba ya sasa haimruhusu kugombea uraisi mwaka 2015 maana atakuwa hajafikisha miaka 40. Sasa kama sio ubinafsi, Why did he do that?

  4. Baada ya NEC kuchakachua matokea ya uchaguzi nchi nzima na kumtangaza Kikwete kuwa mshindi wa uchaguzi. CHADEMA walifanya kitu kilichopelekea vyombo vya habari vingi duniani kutangaza mambo yanayoendelea kwenye bunge la Tanzania - kutoka nje wakati Kikwete akihutubia. Hii iliwapa CHADEMA mtaji mkubwa sana kisiasa. Nasikia hadi leo hii Kikwete amechanganyikiwa na haamini kilichotokea. Wakati hiyo movement ikiwa kwenye high motion, Zitto alifanya kile anachojua best - kuua momentum.

  5. Zitto anadhani kuwa chama ni mtu mmoja. Yeye (na Omar Ilyasi) anajihesabu kama the only politician mwenye maamuzi bora ndani ya chadema. Kama ijulikanavyo, Chama ni mkusanyiko wa watu. Anachofanya Zitto, ni kuvunja mkusanyiko huo ili kumpa nafasi yeye binafsi kupata kile anachotaka.

  ----

  Ningeandika mengi sana ila muda hautoshi. Hii mada haina uhusiano na mada zingine zote zinazoendelea hapa JF. Naomba sana mods muiache hapa yenyewe. Ikikosa wachangiaji, itakufa kifo cha kawaida cha JF - itaenda next page... and next ... and next.

  Ushauri kwa chadema --- msiogope wapambe watasema nini, mfukuzeni Zitto sasa hivi ili mpate muda wa kutosha wa kujenga chama kabla ya uchaguzi mkuu ujao.

  Asanteni.
   
 2. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nadhani imefika wakati wamfukuze tu, hata arfi itabidi nae aandaliwe zengwe aondoke ili chama kiwe salama, vyenginevyo bado kirusi kitakiandama
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Arfi afukuzwe kwa kosa lipi?
   
 4. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #4
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sisi chadema hatupendi kuona akivaa kama mrema, wakati wengine wanapiga suti
   
 5. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Bwa ha ha ha, kwa hiyo hata Mnyika afukuzwe (kwa vile havai suti)?
   
 6. T

  Topical JF-Expert Member

  #6
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kipengele kipi cha katiba ya chadema amekivunja kwa kufanya hayo yote uliyoyasema?

  Afukuzwe uongozi au uanachama? fafanua?
   
 7. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Aondoke tu, hata Masoud Kipanya alishachora katoni inayoonyesha kuwa kichwa cha Zitto ni kikubwa mno na anaingia ndani ya Chadema na uchafu wake wa kifisadi
   
 8. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  + anavaa kibagarashia
   
 9. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  uongozi
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  upupu
   
 11. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  kama kile cha waarabu? au kile cha Mkono (mbunge wa musoma vijijini)?
   
 12. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2010
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sio muarabu ndio maana niaksema hafai kuwemo katika chama cha waafrica
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Kwa kuvunja kipengele gani cha katiba ya chadema?

  Je ameshapelekwa kwenye vikao rasmi ya chama kuulizwa na kujitetea?

  Je vikao hivyo vilimpa onyo lolote? oral or written?
   
 14. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kiongozi anaweza kuondolewa uongozi kama ni kiongozi dhaifu (au msaliti). Vyote hivi Zitto amevionesha. And yes, ameshauriwa na kuonywa so many times. Kikao cha mwisho, Zitto alipoombwa atoke nje ya kikao, alifyonza na kutoka kwa dharau za kumwaga.
   
 15. T

  Topical JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Naomba niambie ni article no ngapi ya katiba ya chadema?

  Alishaandikiwa barua official (vikao rasmi vya chama) kuelezwa jambo hilo?
   
 16. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Common Sense 101

  Ndio
   
 17. T

  Topical JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wewe si ndio bosi mkuu inavyoonekana..si mfukuze tu..ushauri unaomba wa nini?
   
 18. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Sikumbuki kama nimeomba ushauri hapa. Umeona kokote nikiomba ushauri?
   
 19. T

  Topical JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Umeshindwa kupambana naye kwenye vikao (akakufyonza) ukaamua kutafuta jukwaa la bure ha!

  Zitto hana kosa kikatiba (cdm) wala ki-uongozi

  Acha majungu mkuu..nenda kwenye vikao rasmi kajenga hoja acha kulalama..
   
 20. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #20
  Dec 28, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Zitto ana bahati tu kuwa mimi siingii kwenye vikao vya CHADEMA. Kama hii ingekuwa kesi, angekuwa kishaondoka zamani sana.
   
Loading...